DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kwa muda mrefu habari hizi za kutafuta hela tunazisikia kila siku imefika wakati maana hasa ya maneno haya inapotea. Ni mpaka hapo utakapokua na kupitia experience fulani ndiyo utaelewa uzito na ukweli wa maneno haya.
Tanzania hii ya leo watu tunadharauliana sana. Sisemi kama zamani mitazamo yetu ilikuwa bora maana labda kwa umri mdogo niliokuwa kipindi hicho inawezekana sikuwa nayaelewa maisha vizuri.
Nikichokuja kugundua ni kuwa haijalishi wewe ni mwema kiasi gani, una upendo kiasi gani, una akili kiasi gani, una maono kiasi gani, una elimu kiasi gani, kama hauna pesa wewe ni takataka mbele za watu.
Moyo wangu umekuwa mzito sana baada ya kuelewa ukweli huu.
Ngoja tuendelee kupambana tu.