LA7
JF-Expert Member
- Aug 26, 2019
- 655
- 2,369
Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi.
Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine?
Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components zote na ikitokea hivo basi hata mother body yenyewe haita faa. Hapo ndio itakuwa ni sawa fundi kukupa majibu kwamba haiwezi kupona, maana inakuwa imeua mpaka ramani, na njia zake.
Lakini kama kwa macho yako ukitazama unaona kilakitu kipo sawa jua hicho kifaa chako kina uwezo wa kupona, sema tu changamoto iwe kwa fundi au spare.
Mfano kwenye simu kuna kitu kinaitwa emmc, hiyo ikifa simu haiwezi waka au ikiwaka haimalizi. Kwa bongo ni ngumu sana kurekebisha matatizo kama hayo.