Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
hilo kweli mkuu asilimia zote, maana kwa wenzetu unaskia kuna mtu kazimia miaka 10 huku bongo sijawah sikia hcho kitu utakuta tushazikaUsishangae simu tu Mkuu, kuna utafiti uliwahi kuonesha kuwa watu wengi Duniani huzikwa wakiwa hai..yaani hawajamalizua hatua za kifo sembuse simu.