Abou Shaymaa JF-Expert Member Joined Oct 19, 2022 Posts 1,479 Reaction score 3,229 May 15, 2023 #21 Victor Mlaki said: Usishangae simu tu Mkuu, kuna utafiti uliwahi kuonesha kuwa watu wengi Duniani huzikwa wakiwa hai..yaani hawajamalizua hatua za kifo sembuse simu. Click to expand... hilo kweli mkuu asilimia zote, maana kwa wenzetu unaskia kuna mtu kazimia miaka 10 huku bongo sijawah sikia hcho kitu utakuta tushazika
Victor Mlaki said: Usishangae simu tu Mkuu, kuna utafiti uliwahi kuonesha kuwa watu wengi Duniani huzikwa wakiwa hai..yaani hawajamalizua hatua za kifo sembuse simu. Click to expand... hilo kweli mkuu asilimia zote, maana kwa wenzetu unaskia kuna mtu kazimia miaka 10 huku bongo sijawah sikia hcho kitu utakuta tushazika