Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

Kalamu1 jaribu kusoma upya ukichoandika hapa naona kuna contradictions. Unasema husomi na still unafanya argument na mada uliyoidharau.

Walioiponda mada wala hawa comment, kwa ku comment inadhihirisha umeisoma, umeelewa na umekuwa provoked.
Mkuu, mara kadhaa mimi hukomenti kuhusu kichwa cha habari kilichotumika bila kusoma yaliyoandikwa huko chini yake. Kichwa cha mada kinatoa mwelekeo au maudhui ya yaliyomo kwenye mada yenyewe. Kama si hivyo, basi mwandishi hajui kutumia vyema mpangilio wa mada yake.
 
Ni lini baada ya huyu tutampata samia mwingine, Rais aliyeshindwa kukusanya kodi halali na kukimbilia kutengeneza tozo za ajabu ajabu?

Ni lini baada ya huyu tutampata samia mwingine, Rais mpiga dili na mabeberu ambaye ameamua kuua mradi wa bwawa la nyerere?

Ni lini baada ya huyu tutampata samia mwingine, Rais ambaye ndani ya miezi mitatu ya uongozi wake kumekuwa na mgao wa maji na umeme nchi nzima?

Ni lini baada ya huyu tutampata samia mwingine, Rais asiyeweza kuongoza serikali zaidi ya kudemka na kujilegeza (macho kurembua).
Sukuma gang punguza makasiliko
 
Mimi niko mkoa mmoja wapo hapo bado unaongopa,
Sina haja ya kuongopa hebu nieleze huko Kigamboni kuna zahanati au Madarasa mangapi umeona hii ni Dar es salaam Tu alafu kama mkoa wa Kilimanjaro ambao 70% wamissionary walishatengeneza hivyo vitu,hivyo vipya viko wapi?!!..Leo nipo Mwanza na kuna maeneo nimepita sivyo ilivyo wewe ndio Una ongopa kwasababu hujui lakini unafwata propoganda!!!..Kwa Taarifa Tu bado nipo natembelea mikoa mingine!!
 
Kama Taifa hebu tutafakari haya:

1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB,

2. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayekusanya kodi kwa haki kwa wastani wa TZS 1.72 Trilioni kwa mwezi bila ya kukimbiza wafanyabiashara wala kuwadhulumu chochote!!?.

3. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayewahurumia na kuwarejesha shuleni watoto wa masikini waliopata mimba wakiwa shuleni kwa kurubuniwa kwa chips na mserereko?!!

4. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayekuza uwekezaji wa nje FDIs mara sita zaidi kwa miezi sita tu yaani kutoka $510M hadi $3BL!!?.

5. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine kwa miezi saba tu ataongeza hifadhi yetu ya fedha za kigeni kwa TZS 4.4Trilion yaani kutoka $4.8BL mwezi March hadi $6.7BL mwezi September 2021!!?.

6. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayenunua ambulance 395 na magari 214 kwa mkupuo kwaajili ya chanjo wakati mtangulizi wake kwa miaka mitano alinunua ambulance 117 tu bila magari ya chanjo.

7. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayenunua CT SCAN kwenye kila mkoa,Wote mnakumbuka tangu uhuru zilikuwepo CT SCAN mbili tu Tanzania bara na visiwani.!!?

8. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayetununulia MRI kwenye kila hospitali ya kanda nchi nzima sina historia kama tuliwahi kuwa na MRI Machine yeyote kabla ya hizi mpya za mama Samia Suluhu Hassan,

9. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakaye tununulia "Water drilling holes machines " 25 toka mashine moja ya Halmashauri ya Tarime tuliyokuwa nayo,Huyu ni Rais anayekwenda kumaliza shida ya maji kwa vitendo Tanzania.

10. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayetujengea madarasa elfu 15 ya Sekondari na mengine elfu 3 ya Shule za Msingi shikizi, Hii ni Sawa na wastani wa kila shule moja ya sekondari ya Serikali kujengewa madarasa mapya manne (4).

11. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayewapanga Wamachinga wetu kwenye Permanent Premises ili watambulike na kupewa mikopo na huduma nyingine mbalimbali za kibiashara kama Semina na mafunzo kirahisi badala ya kuwatumia kama mtaji wa kisiasa na kuwaacha wakiogelea kwenye Umasikini toka mwaka mmoja wa Uchaguzi na mwingine.

12. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayefuta wasiojulikana wote,walevi wa madaraka wote na kuwafanya watu waishi kwa Uhuru na kwakujiamini ndani ya nchi yao huku akilifungua Taifa kimataifa.

Nitaendelea na tafakuri yangu

Rubbish
 
Kwani harembui? We huoni mijicho yake ile ilivyolegezwa?

Amiri jeshi gani anarembua? Anaaibisha nchi.

Amiri jeshi gani hawezi hata kufoka japo kidogo atie mikwara ya kutisha wazembe?

Au ndo mambo ya kizenji? Ulegevu na kurendemka?
Unateseka sana aisee......kunywa maji ya kutosha ushushe huo msongo usije kukuua.
 
Kama Taifa hebu tutafakari haya:

1. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayeweza kuongeza kwa mkupuo wanafunzi wapya elfu 29 kwenye HESLB,Simnakumbuka mtangulizi wake yeye ilimchukua miaka mitano ili kufikisha wanafunzi wapya elfu 32 kwenye HESLB,

2. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayekusanya kodi kwa haki kwa wastani wa TZS 1.72 Trilioni kwa mwezi bila ya kukimbiza wafanyabiashara wala kuwadhulumu chochote!!?.

3. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayewahurumia na kuwarejesha shuleni watoto wa masikini waliopata mimba wakiwa shuleni kwa kurubuniwa kwa chips na mserereko?!!

4. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayekuza uwekezaji wa nje FDIs mara sita zaidi kwa miezi sita tu yaani kutoka $510M hadi $3BL!!?.

5. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine kwa miezi saba tu ataongeza hifadhi yetu ya fedha za kigeni kwa TZS 4.4Trilion yaani kutoka $4.8BL mwezi March hadi $6.7BL mwezi September 2021!!?.

6. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayenunua ambulance 395 na magari 214 kwa mkupuo kwaajili ya chanjo wakati mtangulizi wake kwa miaka mitano alinunua ambulance 117 tu bila magari ya chanjo.

7. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayenunua CT SCAN kwenye kila mkoa,Wote mnakumbuka tangu uhuru zilikuwepo CT SCAN mbili tu Tanzania bara na visiwani.!!?

8. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayetununulia MRI kwenye kila hospitali ya kanda nchi nzima sina historia kama tuliwahi kuwa na MRI Machine yeyote kabla ya hizi mpya za mama Samia Suluhu Hassan,

9. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakaye tununulia "Water drilling holes machines " 25 toka mashine moja ya Halmashauri ya Tarime tuliyokuwa nayo,Huyu ni Rais anayekwenda kumaliza shida ya maji kwa vitendo Tanzania.

10. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayetujengea madarasa elfu 15 ya Sekondari na mengine elfu 3 ya Shule za Msingi shikizi, Hii ni Sawa na wastani wa kila shule moja ya sekondari ya Serikali kujengewa madarasa mapya manne (4).

11. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayewapanga Wamachinga wetu kwenye Permanent Premises ili watambulike na kupewa mikopo na huduma nyingine mbalimbali za kibiashara kama Semina na mafunzo kirahisi badala ya kuwatumia kama mtaji wa kisiasa na kuwaacha wakiogelea kwenye Umasikini toka mwaka mmoja wa Uchaguzi na mwingine.

12. Ni lini tena baada ya huyu Tanzania tutampata Samia mwingine atakayefuta wasiojulikana wote,walevi wa madaraka wote na kuwafanya watu waishi kwa Uhuru na kwakujiamini ndani ya nchi yao huku akilifungua Taifa kimataifa.

Nitaendelea na tafakuri yangu

Wewe ni mgonjwa wa akili
 
Full idiot at his peak level...

Wapuuzi Kama nyie laana haiwezi kuwaacha salama kwa ujinga ujinga wenu huu..

Heti kakusanya 17T/month, hivi unaijua vizuri trillion 17.
Upuuzi na ujinga wako huu peleka huko Facebook kwa vilaza wenzio siyo hapa jf.

Hili bwege hata ukiliuliza bajeti ya Tanzania kwa mwaka wa fedha 21/22 lisijue lolote!
 
Full idiot at his peak level...

Wapuuzi Kama nyie laana haiwezi kuwaacha salama kwa ujinga ujinga wenu huu..

Heti kakusanya 17T/month, hivi unaijua vizuri trillion 17.
Upuuzi na ujinga wako huu peleka huko Facebook kwa vilaza wenzio siyo hapa jf.
Ni 1.72Trilioni kwa mwezi, Weka rekodi sawa
 
Back
Top Bottom