Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

Hiyo pesa imekuwa ikuzungumzwa kwa zaidi ya miaka 10 ika nchi zilizoendelea hawataki kuitoa ile zisaidie nchi maskini kupambana na mabadiliko ya tabia nchi waliyo sababisha
Huu mwaka kila mtu kaipania
 
Hongera Rais Wangu,

Sisi Wamakonde tunasema "Heri mtembea bure kuliko mkaa bure "

Naamini utapata chochote kwaajili ya nchi yako,

Piga kazi mama tuko na wewe,
Pamoja sana MKUU
 
Asante sana mtoa mada,
Umeeleza vizuri Sana tena kwa lugha ya kawaida sana,
Watanzania waelewe tu Rais wao haachi fursa kwaajili ya nchi,
 
Mambo mazuri yanakuja, Rais Samia ni zaidi ya Rais,
 
Kila lenye heri mama
 
Much better
 
Wazungu walitumia akili kututawala. Bila akili kubwa hatuwezi rudisha tulivyopoteza tulipotawaliwa. Pambana mama, Tz si kisiwa, tunawahitaji wanadunia wenzetu ila tuishi nao tukijua ni wapinzani wetu wetu kama ilivyo Yanga na Simba walivyo maadui wanaotegemeana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…