Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

Mama anapambana sana kurudisha vyetu,
Mungu amjalie afanikiwe,
 
Hakika Mama unapambana sana
 
Asante kwa kutujuza. Japo manunda yanayopinga kila anachofanya Rais SSH yatakuja na pumba zao
 
Afrika inazalisha hewa ya ukaa 4% ....tena ni nchi mbili(SA ,Nigeria) zinazozalisha 90% ya hiyo 4%.....

Kwa kweli ninategemea wadau wataongeza "fungu" kwa ajili ya USIMAMAJI WA PAMOJA KAMA MATAIFA HURU💪

SIEMPRE JMT
 
Nyumba ziko kwenye Katiba kifungu cha masilahi ya Marais wastaafu. Acha kukurupuka kwa vile unataka kumpinga Samia tu
Sina sababu ya kumpinga Samia if anything I wish her well. I am trying to highlight that the relevant legislation should be reviewed such that our government awards retired Presidents residential houses on the basis of need and not want!!!
 
Bei ya Petrol ikishuka mazingira ndio yatazidi kuharibiwa, binadamu wanatakiwa watumie umeme wa jua, volcano na upepo zaidi kutunza mazingira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…