Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

Tutafika tu
 
CCM bana, mlivyokuwa mnatuaminisha kwamba sisi ni matajiri tunanunua ndege kwa cash..kikowapi sasa.
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia
 
Kidogo kidogo watamuelewa Mama ....acha tuoneshane makali 🤣 🤣 🤣
 
Kwa kazi hizi huyu mama ajengewe Mnara pale Dodoma ili kumuenzi,

Haya mambo anafanya hayakutegemewa kabisa hata siku moja,

Hongera Sana Rais Samia
 
Ila tuseme ukweli jaman tukiachana na impact za GHGs emission
Viongozi wengi wa Africa na watalaam wengi wa mazingira wamekuwa waki cite mafuriko ktk miji na majiji yetu as impact ya CC, tukiangalia sikunizi ktk majiji yetu yana jengwa miundo mbinu mi barabara juu chini lkn ajabu hamna mifereji ya kupokelea maji na kuiongoza kwenda point flan
Hiki kitendo ni wazi kina pelekea maji kutapakaa ktk miji na majiji hovyoo na kukosa pakuongozwa.

Ni vyema sasa serikal ijikite pia ktk ujenzi wa mifereji ya kupokelea maji na kuongoza maji ili yasitapakae...
 
 
Umeongea kitaalam kwelikweli, Hongera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…