Tanzania huenda tukapata Least Deleveloped Countries Fund ( LDCF ) kwenye US$100B za COP

Nyie nawashangaa sana, hivi mnafikiri hizi hela tunapewa au tunakopeshwa, huwa siwaelewi hata kidogo
 
hii equation kama haina balance nchi ambazo ni maskini zinataka uchumi ukue kwa kujenga viwanda ambavyo navyo inatoa hewa chafu kwa namna moja ama nyingine na vifaaa ambavyo vinahitajika ili hizi nchi maskini ziendelee wanategemea kununua kutoka huko huko kwenye viwanda hivyo hivyo vinavochafua mazingira lakini sasa hivi nchi masikini hizo zinaona kama nchi zinachafua mazingira na huku zinazalisha bidhaa za nchio zao ziendelee..mfano kama hapa tanzania mabehewa, ma vifaa ya umeme karibia , vifaa vya kujemgea meli , ndege zinatoka kwenye viwanda hivyo hivyo ambavyo vinachangia uchafuzi wa mazingira.
Mimi naona hizo pesa ni mara mia wapande miti amazonile iliyo unngua au wa design mitambo ya kuchuja hewa kuliko kutupa hela wakati mwingine zisifanye hiyo kazi kikamilifu
 
Hii nzuri sana
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…