Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
ππππWacha weee πππ
Anasema Luhanga ana hoja za kichademachadema na akasema kama Mpina Luhanga anataka kujua Magufuli alikufaje basi atoke CCM aende CHADEMA.Na Steve Mengere mbona anapambana na Luhaga Mpina anataka nini naye?
Mkuu yule Mengere hapa jijini ni maarufu sana na anasukuma ndinga za bei kali kwa sababu ya kazi yake ya kuwatafutia Mapedeshee pisi za maana na jamaa kazi anaifanya kwa weledi wa juu sana πππAnasema Luhanga ana hoja za kichademachadema na akasema kama Mpina Luhanga anataka kujua Magufuli alikufaje basi atoke CCM aende CHADEMA.
Lazima CHADEMA itajwe...π π π
Hata hivyo Mengere hajawa maarufu
Kwa Ivo ni "team" mwijaku na baba levo. Unakuwa maarufu kwa mambo ya hovyo hovyo!!!Mkuu yule Mengere hapa jijini ni maarufu sana na anasukuma ndinga za bei kali kwa sababu ya kazi yake ya kuwatafutia Mapedeshee pisi za maana na jamaa kazi anaifanya kwa weledi wa juu sana πππ
Lazima ngazi ya kupandia iwepo...
Sasa sisi CCM tunapambana na yeyote anayeyaka kuleta machafuko ya kisiasa nchini,Hatupambani na chadema kwa sababu tunawaogopa,ccm inapambana kutunza Amani inayotaka kuvunjwa na masela wa chadema.Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA.
Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na CHADEMA, akachaguliwa.
Leo baadhi ya Wana CCM wanamuona Samia Suluhu kama ni Mwenyekiti legelege kwa kuwa tu haoneshi kupambana na CHADEMA.
Tanzania kuna vyama vingi vya Siasa zaidi ya 18 lakini ni CHADEMA pekee ndiyo kila siku inazungumzia.
Hata chawa kikongwe johnthebaptist na mtafuta teuzi Lucas Mwashambwa na kaka yake Pascal Mayalla wanajua.
Kwa mtazamo wa kina CHADEMA ndiyo ramani ya Siasa za Tanzania.
Kwa ivo vyama vingine kama kile cha Hashim Rungwe hamna haja navyo??Sasa sisi CCM tunapambana na yeyote anayeyaka kuleta machafuko ya kisiasa nchini,Hatupambani na chadema kwa sababu tunawaogopa,ccm inapambana kutunza Amani inayotaka kuvunjwa na masela wa chadema.
Adui aliye karibu ndie tunapambana nae,chadema imejitahidi kufikia theluthi ya nguvu ya ccm ndio maana tunapambana nae asipate robo ya nguvu tuliyonayo.Kwa ivo vyama vingine kama kile cha Hashim Rungwe hamna haja navyo??
Umewahi kukaa muda gani bila ya kuizungumzia CHADEMA!??
Theruthi na Robo ipi Kubwa?πΌAdui aliye karibu ndie tunapambana nae,chadema imejitahidi kufikia theluthi ya nguvu ya ccm ndio maana tunapambana nae asipate robo ya nguvu tuliyonayo.
Kubwa CCM...πππTheruthi na Robo ipi Kubwa?πΌ
Samahani lakini
Robo kubwa bwana mdogo.Theruthi na Robo ipi Kubwa?πΌ
Samahani lakini
Uzuri umekubali kuwa Chadema ina nguvu. Pambana sana ili wakuone upate kisemeo rasmi.Adui aliye karibu ndie tunapambana nae,chadema imejitahidi kufikia theluthi ya nguvu ya ccm ndio maana tunapambana nae asipate robo ya nguvu tuliyonayo.
Chungwa unaligawa mara 3Robo kubwa bwana mdogo.
Sawa.Chungwa unaligawa mara 3
Chungwa unaligawa mara 4
Basi Sawa πΌ