Pre GE2025 Tanzania huwezi kuwa maarufu kisiasa kama hupambani na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe umeamua kuwa mbishi tuu,pesa chafu za uchaguzi wa kanda yenu zimepofusha akili yako.
Yaani shule haina umeme, maabara, wala maktaba katika zama hizi za sayansi ya teknolojia.

Hivi nyie huwa mnawaza watanzania ni Mazombie!!??
 
Wewe uhusiki. Timbwili likitokea utakimbizwa tu kama wengine...Wala hujulikani.

Mwenzako Lucas Mwashambwa kaona aache umatipo ili apate teuzi Lakini haijamsaidia.
Hahaha,kujulikana au kutojulikana niachie mimi,wewe anza tu mipango ya kuipindua serikali ya jamhuri alafu utaniona nakuja kukisalimia kijiji chako.
 
Huna uwezo huo...

Wewe siyo miongoni mwa wenye CCM.

Wenye CCM yao ndiyo wanajua zile shilingi trilioni 1.5 nani alizikwiba...😜😅🤣

Wenye CCM yao ndiyo wanajua Kagoda, Tangold na Meremeta zilianzishwa ili kitokee nini...🤣😅😜

Wenye CCM yao ndiyo wanaojua zile hela zilizobebwa kwenye mifuko ya sandarusi toka benki ya Stanbic, walichukua kina nani!?

Wenye CCM yao ndiyo waligawana nyumba za serikali na ndiyo Sasa wananunua zile walizowagawia wengine...😜😅🤣

Acha kujipendekeza kujifanya na wewe ni miongoni mwa wenye CCM wakati ni mlalahoi mwenzetu tu.
 
Unanifurahisha sana,unakaribia kuwa na mbinu za kumjua mtu ila si kwa mbobezi kama mimi.

Wenye chadema yao ndio wanajua kwanini walimuua Wangwe.

Wenye chadema yao ndio wanaojua kwanini Dr.Slaa alitoswa 2015.

Wenye chadema yao ndio wanaojua kwanini walimuua kamanda A.Mawazo na kumkosakosa Lissu.

Wenye chadema yao wanajua kwanini pesa za join the chain hazijatolewa ufafanuzi.

Wewe huna unalojua bwana mdogo Allen,karibu CCM uyajue mambo ya nchi.
 
Mnawaza kuoa tu,nilidhani utasema mkiingia mtaboresha teknolojia,wewe ukionja madaraka utaoa zaidi ya dini ya Allah itakavyo
Ni kweli kabisa, tena nyie wanaume mlioozoea maisha ya bwerere ndio tutaanza na nyie.
 
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA.

Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na CHADEMA, akachaguliwa.

Leo baadhi ya Wana CCM wanamuona Samia Suluhu kama ni Mwenyekiti legelege kwa kuwa tu haoneshi kupambana na CHADEMA.

Tanzania kuna vyama vingi vya Siasa zaidi ya 18 lakini ni CHADEMA pekee ndiyo kila siku inazungumzia.

Hata chawa kikongwe johnthebaptist na mtafuta teuzi Lucas Mwashambwa na kaka yake Pascal Mayalla wanajua.

Kwa mtazamo wa kina CHADEMA ndiyo ramani ya siasa za Tanzania.
Uko sahihi watu wenye akili wapo chadema kwa sasa
 
Unanifurahisha sana,unakaribia kuwa na mbinu za kumjua mtu ila si kwa mbobezi kama mimi.

Wenye chadema yao ndio wanajua kwanini walimuua Wangwe.

Wenye chadema yao ndio wanaojua kwanini Dr.Slaa alitoswa 2015.

Wenye chadema yao ndio wanaojua kwanini walimuua kamanda A.Mawazo na kumkosakosa Lissu.

Wenye chadema yao wanajua kwanini pesa za join the chain hazijatolewa ufafanuzi.

Wewe huna unalojua bwana mdogo Allen,karibu CCM uyajue mambo ya nchi.
Tuhuma zote hizi hao watu hawajashitakiwa, basi nchi hii Haina vyombo vya uchunguzi makini

Ccm wameshindwa kuchungiza na kushitaki watuhumiwa

Ndo maana mpina analia ubuchunguzi wa kifo Cha magufuli

Nchi hiii unaweza ua mtu bila kushtakiwa ukiwaccm au ccm

Kwa haya mambo Ccm ni takataka labisa
 
Jaribu kuwa ccm alafu umuue baba yako ili urithi mali uone kama kweli ccm inatetea wauaji.
 
Back
Top Bottom