Pre GE2025 Tanzania huwezi kuwa maarufu kisiasa kama hupambani na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unavyojitutumua sasa, utadhani CCM wenyewe wanakujua...πŸ˜œπŸ˜…πŸ€£

Wenye CCM yao wanaulizana, kwani huyu ni nani... πŸ€£πŸ˜…πŸ˜œ
Endelea kumsujudia mbowe upate hata kakiti ka udiwani tena usije kufa njaa,sawa Bw.Allen
 
Wengine Siasa ni hobby siyo jambo la kufa na kupona kwa maslahi yetu.

Ila tupo CHADEMA kwa kuwa tunaamini ni njia sahihi ya kuifanya Tanzania iwe njema zaidi kuliko ilivyo Sasa.
 
Haujagawiwa za Mama Abduli kwenye uchaguzi wa Kanda? Au Jongwe kakutosa?
 
Mama Abdul ndiyo nani!??

Kwa mujibu wa Sheria za Tanzania mtoa na mpokea rushwa wote ni wahalifu.

Hebu mtaje kwa jina lake halisi huyo mama Abdul ili TAKUKURU washughulike naye.
 
Lissu hapokei simu,nataka kumuuliza Mwenyekiti wako ajaye.
 
Kwa ivo wewe kumbe hata hujui kama huyu mama Abdul ni mtu halisi ama ni jina tu la kubuni!??

Unasema jambo kwa tashtiti kumbe wala huna hakika nalo...πŸ˜œπŸ˜…πŸ€£

Ila sishangai ndivyo CCM mlivyo... Mkishakariri kitu mnageuka kasuku...
 
We Bw.Allen huna unalojua,Ngoja Lissu akichukue chama ili awape uhai,Sultan si hata wewe umemchoka mzee? au sio.
 
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA.

Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na CHADEMA, akachaguliwa.

Leo baadhi ya Wana CCM wanamuona Samia Suluhu kama ni Mwenyekiti legelege kwa kuwa tu haoneshi kupambana na CHADEMA.

Tanzania kuna vyama vingi vya Siasa zaidi ya 18 lakini ni CHADEMA pekee ndiyo kila siku inazungumzia.

Hata chawa kikongwe johnthebaptist na mtafuta teuzi Lucas Mwashambwa na kaka yake Pascal Mayalla wanajua.

Kwa mtazamo wa kina CHADEMA ndiyo ramani ya siasa za Tanzania.
Uko very shallow aisee

Tanzania yako ndio imeishia hapo?
 
We Bw.Allen huna unalojua,Ngoja Lissu akichukue chama ili awape uhai,Sultan si hata wewe umemchoka mzee? au sio.
Mama Abdul ni nani???

Mwalimu alisema tuliondoa usultan wa kiukoo tumeleta usultan wa chama.

CCM imetosha Sasa... Usultan wenu LAZIMA ufike mwisho.

Miaka zaidi ya 47 mko madarakani na kila siku hali inazidi kuwa ngumu afadhali ya jana...

CCM kutawala Tanzania siyo Amri ya Mungu!!!
 
CCM Ipo kujibu kero za watanzania,wewe huoni ndugu kwenye ukoo wako wanaenda shule bila ada,au wamewahi kukuomba ada tofauti na kuombwa madaftari na begi?

Wewe unadhani tunavyowadhibiti masela wenzio kina Sugu wasilete fujo nchini ili angalau parachichi ziendelee kulimwa njombe watu waboreshe maisha yao unaona ni kazi ndogo,kuwa na shukrani kwa ccm kukusaidia kuwa hapo Bwana Mdogo,karibu ccm.
 
Hapo umesema,pangeni sasa njama za mapinduzi tuwashughulikie kiukweliukweli,mkifanikiwa mtutoe,anzeni tuone.
Huna lolote we ni mchumba tu, waambieni vyombo vya Dola viwe neutral uone kama hujaolewa.
 
CCM Ipo kujibu kero za watanzania,wewe huoni ndugu kwenye ukoo wako wanaenda shule bila ada,au wamewahi kukuomba ada tofauti na kuombwa madaftari na begi?

Wewe unadhani tunavyowadhibiti masela wenzio kina Sugu wasilete fujo nchini ili angalau parachichi ziendelee kulimwa njombe watu waboreshe maisha yao unaona ni kazi ndogo,kuwa na shukrani kwa ccm kukusaidia kuwa hapo Bwana Mdogo,karibu ccm.
Amani Tanzania ipo automatic kwa ajili ya ukondoo, usitake kujifanya imeletwa na ccm. Kama ingekuwa imeletwa na ccm tusingeona chaguzi za kihayawani.
 
CCM Ipo kujibu kero za watanzania,wewe huoni ndugu kwenye ukoo wako wanaenda shule bila ada,au wamewahi kukuomba ada tofauti na kuombwa madaftari na begi?
Halafu wanasoma kwenye darasa lenye watoto zaidi ya 100 badala ya watoto 45...πŸ€£πŸ˜…πŸ˜œ

Mpaka Leo mfumo wa vitabu vya ziada na kiada hauko sawa....πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜…πŸ€£

Shule hazina ikama ya kutosha ya waalimu...πŸ€£πŸ˜…πŸ˜œ

Shuleni inatakiwa kiwango cha chini kabisa iwe kitabu kimoja wanafunzi wawili, ila kwenye hizo shule kitabu kimoja watoto 10.

Mtoto halipi ada lakini shuleni kwao hakuna choo cha kujisaidia...πŸ˜œπŸ˜…πŸ€£

Shuleni hakuna madawati watoto wanakaa chini na waalimu ofisini kwao Wana uhaba mkubwa wa meza za ofisi...πŸ€£πŸ˜…πŸ˜œ
 
Kama tendo la Maisha huhitaji opponent ili utamu pande zote zipate

Kisiasa nchini bila kutaja vyama viwili ccm na chadema ,utamu au mabadiliko ya maendeleo hatutashuhudia hatakama yatachelewa
 
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA.

Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na CHADEMA, akachaguliwa.

Leo baadhi ya Wana CCM wanamuona Samia Suluhu kama ni Mwenyekiti legelege kwa kuwa tu haoneshi kupambana na CHADEMA.

Tanzania kuna vyama vingi vya Siasa zaidi ya 18 lakini ni CHADEMA pekee ndiyo kila siku inazungumzia.

Hata chawa kikongwe johnthebaptist na mtafuta teuzi Lucas Mwashambwa na kaka yake Pascal Mayalla wanajua.

Kwa mtazamo wa kina CHADEMA ndiyo ramani ya siasa za Tanzania.
Chadema mbona imeshakufa imebaki ni tambo za lisu na yeye ni swala la muda tu kama mwamposa. Kakobe alikuwa ni zaidi ya mwamposa ila dawa zake zilipoish na mganga wake akafa basi naye akapotea
 
Halafu wanasoma kwenye darasa lenye watoto zaidi ya 100 badala ya watoto 45...πŸ€£πŸ˜…πŸ˜œ

Mpaka Leo mfumo wa vitabu vya ziada na kiada hauko sawa....πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜…πŸ€£

Shule hazina ikama ya kutosha ya waalimu...πŸ€£πŸ˜…πŸ˜œ

Shuleni inatakiwa kiwango cha chini kabisa iwe kitabu kimoja wanafunzi wawili, ila kwenye hizo shule kitabu kimoja watoto 10.

Mtoto halipi ada lakini shuleni kwao hakuna choo cha kujisaidia...πŸ˜œπŸ˜…πŸ€£

Shuleni hakuna madawati watoto wanakaa chini na waalimu ofisini kwao Wana uhaba mkubwa wa meza za ofisi...πŸ€£πŸ˜…πŸ˜œ
Wewe umeamua kuwa mbishi tuu,pesa chafu za uchaguzi wa kanda yenu zimepofusha akili yako.
 
Amani Tanzania ipo automatic kwa ajili ya ukondoo, usitake kujifanya imeletwa na ccm. Kama ingekuwa imeletwa na ccm tusingeona chaguzi za kihayawani.
Nyie mmesema mnataka nchi ivurugike ili muingie mamlakani,jaribuni tuone.
 
Huna lolote we ni mchumba tu, waambieni vyombo vya Dola viwe neutral uone kama hujaolewa.
Mnawaza kuoa tu,nilidhani utasema mkiingia mtaboresha teknolojia,wewe ukionja madaraka utaoa zaidi ya dini ya Allah itakavyo
 
Back
Top Bottom