Pre GE2025 Tanzania huwezi kuwa maarufu kisiasa kama hupambani na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Adui aliye karibu ndie tunapambana nae,chadema imejitahidi kufikia theluthi ya nguvu ya ccm ndio maana tunapambana nae asipate robo ya nguvu tuliyonayo.
Kuhusu ushawishi wa kisiasa cdm wameshawashinda ccm muda mrefu, wanachokosa cdm ni silaha za kupambana na ccm, maana ccm inategemea silaha kupitia vyombo vya Dola.
 
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA.

Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na CHADEMA, akachaguliwa.

Leo baadhi ya Wana CCM wanamuona Samia Suluhu kama ni Mwenyekiti legelege kwa kuwa tu haoneshi kupambana na CHADEMA.

Tanzania kuna vyama vingi vya Siasa zaidi ya 18 lakini ni CHADEMA pekee ndiyo kila siku inazungumzia.

Hata chawa kikongwe johnthebaptist na mtafuta teuzi Lucas Mwashambwa na kaka yake Pascal Mayalla wanajua.

Kwa mtazamo wa kina CHADEMA ndiyo ramani ya siasa za Tanzania.
Kabisa CDM ndio mhimili wa siasa za nchi hii.
 
Kuhusu ushawishi wa kisiasa cdm wameshawashinda ccm muda mrefu, wanachokosa cdm ni silaha za kupambana na ccm, maana ccm inategemea silaha kupitia vyombo vya Dola.
Yani hata nusu ya wabunge hamjawahi kushinda ,hivi mnajua hesabu kweli huko chadema?
 
Kama unataka kuwa mwanasiasa maarufu Tanzania basi wewe onesha unapambana na CHADEMA.

Kuna wakati Mzee Wasira aliomba kura ndani ya CCM kwa hoja kwamba yeye ndiye mwenye uwezo wa kupambana na CHADEMA, akachaguliwa.

Leo baadhi ya Wana CCM wanamuona Samia Suluhu kama ni Mwenyekiti legelege kwa kuwa tu haoneshi kupambana na CHADEMA.

Tanzania kuna vyama vingi vya Siasa zaidi ya 18 lakini ni CHADEMA pekee ndiyo kila siku inazungumzia.

Hata chawa kikongwe johnthebaptist na mtafuta teuzi Lucas Mwashambwa na kaka yake Pascal Mayalla wanajua.

Kwa mtazamo wa kina CHADEMA ndiyo ramani ya siasa za Tanzania.
Wewe utakuwa ni PhD holder ya zamani.
 
Yani hata nusu ya wabunge hamjawahi kushinda ,hivi mnajua hesabu kweli huko chadema?
Kwa muundo huu wa tume ya uchaguzi,na ule uhayawani unaofanyika kwenye chaguzi kwa ccm kushirikiana na vyombo vya Dola, unategemea upinzani upate hata robo ya viti hivyo? Ukiona ccm haiko tayari kuwe na tume huru ya uchaguzi, basi ujue hawana uwezo wowote wa kushinda kihalali.
 
Endeleeni kulalamika,eti mnasema Arusha ni ngome yenu?
Hivi mnazijua siasa za ngome nyie?
Arusha kwenyewe mkipata saana labda majimbo mawili au matatu alafu eti ngome yetu,chadema mnavichekesho sana aisee.
 
Wapi nalalamika, usichanganye kulalamika na kupuuza, tume ya uchaguzi iwe huru kisha uje utoe mrejesho. Hii kulazimisha nyie kuwa na maamuzi kwenye tume ya uchaguzi, kisha unakuja kuniletea story za ngome ni kama unachekesha walionuna. Ccm sio chama Cha kizazi hiki, wizi tu ww kura ndio silaha yenu. Nyie bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, mtaendelea kutamba huku hamkubaliki.
 
Mkuu yule Mengere hapa jijini ni maarufu sana na anasukuma ndinga za bei kali kwa sababu ya kazi yake ya kuwatafutia Mapedeshee pisi za maana na jamaa kazi anaifanya kwa weledi wa juu sana 😂😂😂
Kuhadi Mkuu🤣
 
Wapi nalalamika, usichanganye kulalamika na kupuuza, tume ya uchaguzi iwe huru kisha uje utoe mrejesho. Hii kulazimisha nyie kuwa na maamuzi kwenye tume ya uchaguzi, kisha unakuja kuniletea story za ngome ni kama unachekesha walionuna. Ccm sio chama Cha kizazi hiki, wizi tu ww kura ndio silaha yenu. Nyie bila machafuko ama mapinduzi ya kijeshi, mtaendelea kutamba huku hamkubaliki.
Hapo umesema,pangeni sasa njama za mapinduzi tuwashughulikie kiukweliukweli,mkifanikiwa mtutoe,anzeni tuone.
 
Unavyojitutumua sasa, utadhani CCM wenyewe wanakujua...😜😅🤣

Wenye CCM yao wanaulizana, kwani huyu ni nani... 🤣😅😜
 
Back
Top Bottom