Pre GE2025 Tanzania huwezi kuwa maarufu kisiasa kama hupambani na CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
CCM imepotea HAIPO ....Chimba hapa:

NO REFORM NO ELECTION

Ukibebwa na mbeleko hata baa na kwenye Mapuya WATAKUPELEKA

Sasa uko mgongoni mbele Unapaona?

Mdundo wa ngoma upigwee zaidi mtoto mgongoni ANASEREBUKA NA KUSINDIMBA akichana kanga.

SKOPU
 
 
Iliianzia kwa Mwigulu ikafuatia msururu wa watu mpaka Godwin Mollel kuishi na kupumulia kutukana Chadema.
 
Walioba amewashauri ccm wasiombe msaada wa polisi kupambana na wananchi chadema
Game iwe kati ya Interahamwe (ccm) vs Chadema?!
 
Upeo mfupi at its best
 
Hata kule kwenye vyombo cheo hupati kama hujaonesha ukatili dhidi ya chadema
 
Kumbe. Kwa kweli nchi hii upinzani ni chadema tu. Nami nawapongeza sana Chadema kwani wameandaa watu ambao sasa ndio lulu kwa CCM. Hata CCM inajua hilo kuwa vijana makini ni wale waliotengenezwa na Mbowe
Magu aliteuwa wote Bavicha na Bawacha akaacha mavuvuzela ya kule kwake.
 
Jaribu kuwa ccm alafu umuue baba yako ili urithi mali uone kama kweli ccm inatetea wauaji.
Sasa Hilo jambo la kumuua baba yako ili upate urithi linawasaidia nini CCM kisiasa.

Wewe ua ili wao wabaki madarakani, ndiyo watakutetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…