Tanzania idadi ya watu imeongezeka lakini hali sio nzuri mkoa wa Kilimanjaro

Viwanda vingi vilivyokuwa vinaajiri na kwa hiyo kuwabakiza vijana wengi wa kichaga kilimanjaro, vilikufilia mbali zaidi ya miaka 40 iliyopita.
Moshi tanneries, kibo match, magunia, kilimanjaro machine tools, coffee curing, mayur ltd, jethwa garments, Tanzania gemstone industries, etc vyote vimekufilia mbali
 
U
Meolewa wapi maana kuoa hujakutaja ndg? Samahani lakini, nataka tu kujua. Wachaga wanaijua elimu. Nani mwandikishe mtoto wake shule ya kayumba? Mtoa mada hajasema utafiti kaufanya she za serikali au za binafsi hasa seminary?
 
Huko Kilimanjaro watu hawaendi kutafuta maisha
Wagumu kutoa ardhli hata kwa wai kwa wao

Kuna matajiri wakubwa wa kichaga mikoa mingine wangepewa ardhi hata Eka 20 wangejenga viwanda nk lakini ubahili wa Ardhi umesababisha kilimanjaro kuwa nyuma kiuwekezaji


Mikoa yote isiyo bahili kwa Ardhi kama Dar es salaam, Arusha,Mwanza Mbeya ,Shinyanga nk inapiga hatua mbele kubwa kimaendeleo kuliko wao
 
Kitu nikionacha kwa mkoa wa Kilimanjaro ni kwamba wanaoingia kuja kutafuta maisha kutoka mikoa mingine ni wachache mnooo!!
Wakati huohuo wenyeji wanatoka kwa wingi kwenda mikoa mingine.
Watu wengi wakuja ni wafanya kazi za kuajiriwa ambapo kwa watu wageni kujishughulisha na ujasiliamali na utoboe ni shughuli pevu.
Na wenyeji wenyewe pia shughuli za ujasilia mali ndani ya mkoa kutoboa pia kimbembeee!
 
Hichi kitu unachosema ni kweli mkuu. Mi kwetu imebid watoto wahamishiwe shule nyingine
 
Mkuu hebu jibu kwa hoja concrete, Mbona Mwanza imepiga maendeleo makubwa na bado Wasukuma hawajakimbia kwao kwa rate ya Mkoa wa Kilimanjaro, vivyo hivyo jiji la Mbeya limepiga hatua kubwa kimaendeleo na bado wenyeji wapo wa kutosha tu.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Wengi wako mikoani wanasaka maisha. Hakuna mji utaenda nchi usikutane na kina Kimario, Mosha, Shirima nk. Tatizo kule kwao hawauzi ardhi kwa wageni hivyo wao wanatoka wageni hawaingii hivyo ni ngumu kumkuta msamaria kwenye kundi la wayahudi.
 
Wachaga wengi hawazai sana.ukiangalia wachaga wa dar wengi wao ana mtoto mmoja au wawili.Kingine wachaga wakatili sana wanawadedisha sana waume zao ndiyo maana hujakuta watu huko Kilimanjaro
 
Mtoa mada ana hoja,mwaka huu mwanzoni NILIKUWA huko,nilikutaba na mzee ana lalamika x mass mbili zimepita bila ya ubatizo hata mmoja.
 
Ni kweli kabisa hili jambo.sijui hata ufumbuzi wake ni upi
Hii ni cjangamoto kubwa sana. Wengi tunatembelea kwa siku chache na kurejea mjini. Vijana wa makabila menhine ndio wanalinda majengo mengi uchagani. Kuna haja ya kutafakari. Mimi nakusudia kubadilisha matumizi ya mji wetu uwe sehemu ya mapumziko kwa wanaohitaji kubadilisha mazingira kwa vipindi.
 
Mtoa mada ana hoja,mwaka huu mwanzoni NILIKUWA huko,nilikutaba na mzee ana lalamika x mass mbili zimepita bila ya ubatizo hata mmoja.
Ni hatari na hata ubatizo ukitokea ni watu wanaoishi mjini wameamua kwenda kufanyia ubatizo kijijini
 
Sababu kubwa ni kwamba Kilimanjaro maisha ni magumu sana na hakuna fursa. Mimi mwenyewe naishi huku na ninapambana sana kuhama.
Sikupingi... upo sahihi... Kilimanjaro kiutafutaji hakujakaa vizuri na inawezekana sababu kubwa ni kwamba wachaga na wapare wote ni watu wabahili... ni ngumu sana kutengeneza faida kibiashara....

Ila ukitumia akili ya ziada pesa utaiona... ila ukia conventional businessman.. nishida sana pesa kukupitia ukiwa huu mkoa
 
Huwezi kufanya biaahara sehemu yenye watu wachache sana, Tena sehemu ambayo mostly kila mmoja anapambana kibiashara ku-survive maana Hakuna ardhi ya kilimo Wala ufugaji.

Mostly, biashara kubwa Kilimanjaro ni pombe na kila mtu anaifanya. Unless Kama una mtaji mkubwa na hivyo huepukiki. Kingine ni biashara za magendo na mirungi ambazo kiuhalisia mgeni ukijihusisha nazo, unadakwa ndani ya saa 1.
 
Kwaiyo mkuu kule Kilimanjaro hakuna fursa za ujasiriamali zaidi ya kupika pombe za kienyeji , kuwa boda boda ni ngumu kwasababu wateja wanaonde kazin asubuhi hawapo na watu ni wachache na hawa tembei

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Kujitetea kwiingi, hilo jambo si jema kwa mustakabali wa tamaduni zao.

Japo huwa wana desturi ya kurudi kwao december lakini kadri siku zinvyoenda watu wanaoenda itazidi kupungua coz watu wanahamishia vizazi vyao mikoa mingine.

Washukuru tu kua ni kabila linalofahamika la sivyo utamaduni wao ungepotea kwa haraka kuliko unavyopotea taratibu kwa sasa.
Watoto wanaozaliwa miaka hii, wengi wataitwa wachaga/wapare/wameru/waarusha kwa majina tu lakini kiuhalisia wanakua hawaijui asili yao.

Pamoja na kutafuta, tukumbuke home mazee. Mji bila watu haufai kitu, itafika hatua mtu hataenda kwao kwasababu haoni akienda atafanya jini wakati familia na ndgu wapo miji mingine!!
 
Hio ndo point yangu na wanapenda December ni wale waliozliwa kule lakin mtu amezaliwa na kukulia dar hauon umuhimu sana wa kwenda kule December wengi wanaenda kwa mkumbo hasa ambao hawajazaliwa kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…