Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Nimetembelea baadhi ya vijiji huko Kigoma, Katavi, Rukwa nk na kukutana na wasukuma wengi sana, vijiji vingine karibia 70 % ni wasukuma. Sasa wakati nawahoji hawa wasukuma nikagundua kwamba wanapotoka huko kwao wanauza kila kitu na kuhamia maeneo mengine, na sababu kuu wao wanasema huko kwao ardhi imechoka, ukame, uzalishaji mdogo nk hivyo kulazimika kukimbilia maeneo yenye mazingira mazuri. Sasa tofauti na watu wa Kilimanjaro ni kwamba wakati wasukuma wanauza miji/ardhi zao na kuhamia kwingine Kilimanjaro wao hawauzi maeneo yao na badala yake wanayaendeleza huku wakiwa nje ya mkoa wao.Mkuu hebu jibu kwa hoja concrete, Mbona Mwanza imepiga maendeleo makubwa na bado Wasukuma hawajakimbia kwao kwa rate ya Mkoa wa Kilimanjaro, vivyo hivyo jiji la Mbeya limepiga hatua kubwa kimaendeleo na bado wenyeji wapo wa kutosha tu.
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app