Tanzania ikitaka kuwa salama ijiepushe kushirikiana na nchi za Mashariki ya Kati

Tatizo la ISIS na Al Shabaab wanaua waislaam wenzao, hawana habari na wenye itikadi tofauti!
Ndio maana nimekuambia hao sio waislamu , kwani umewasikia lin wakipigana na Israel ?

Hayo ni makundi pandikizi hayana uhusiano na uislamu , wanatumia ili kuleta vurugu ...
 
Hayo makundi pandikizi yanatumia uislam katika harakati zao na wafadhili wao ni nchi za kiislam. Sasa kama serikali za nchi za kiislam zinafadhili haya makundi tafsiri yake ni nini?
 
Ukiondoa magaidi ya madawa ya kulevya yaliyopo nchi za Caribbean na America ya Kati ambao wanaendesha biashara ya madawa ya kulevya, nchi hatari zaidi dunia kushirikiana nazo na hasa kwa nchi za Kiafrika ni za Mashariki ya Kati.

Vita vyote vinavyopiganwa Afrika hivi sasa vina mkono wa UAE, Yemen, Iran, Egypt, Saudi Arabia, Oman, Lebanon, Syria nk. Hata vita huko Afghanistan na Pakistan ni nchi hizo hizo zinafadhili.

Mbaya zaidi wanatumia itikadi kali za kidini kupata uungwaji mkono na baadhi ya viongozi na wananchi wa nchi husika.

Ni vema Serikali yetu ikachukuwa tahadhari kubwa kila inapoingia mikataba na nchi hizi kwani ni hatari kwa mustakabali wa ustawi wa nchi yetu!
Tutakosa Msaada wa tende
 
Hayo makundi pandikizi yanatumia uislam katika harakati zao na wafadhili wao ni nchi za kiislam. Sasa kama serikali za nchi za kiislam zinafadhili haya makundi tafsiri yake ni nini?
Hayana uhusiano , yanafadhiliwa na USA ...trumpth alishawah kusema kwamba Obama ndio alikuwa akiunga mkono hayo makundi .
 
Obama ni muislamu mwenzao hivyo huenda alilegeza nguvu za kuwakabili. Wafadhili wa makundi haya ni Iran, Qatar, Kuwait, Iraq, Saudi Arabia, Egypt nk.
 
Ukiondoa magaidi ya madawa ya kulevya yaliyopo nchi za Caribbean na America ya Kati ambao wanaendesha biashara ya madawa ya kulevya, nchi hatari zaidi dunia kushirikiana nazo na hasa kwa nchi za Kiafrika ni za Mashariki ya Kati.

Vita vyote vinavyopiganwa Afrika hivi sasa vina mkono wa UAE, Yemen, Iran, Egypt, Saudi Arabia, Oman, Lebanon, Syria nk. Hata vita huko Afghanistan na Pakistan ni nchi hizo hizo zinafadhili.

Mbaya zaidi wanatumia itikadi kali za kidini kupata uungwaji mkono na baadhi ya viongozi na wananchi wa nchi husika.

Ni vema Serikali yetu ikachukuwa tahadhari kubwa kila inapoingia mikataba na nchi hizi kwani ni hatari kwa mustakabali wa ustawi wa nchi yetu!

Kuna mawili either wewe ni:-
1. MKRISTO MPUMBAVU,kama wale viongozi wao wa dini wanaowaambia watawapa utajiri kwa nguvu mungu wa Israel huku Israel wakipewa msaada wa Trillioni 30 kila mwaka na U.S😆😅😂 au
2.WEWE NI HANITHI,NA LIPUMBAVU,ona hapa ni mataifa mangapi yanaongoza kulidao lin nchi lako la kijinga?
FWWvd0BWYAAm2L4.jpeg
 
Sio vita vyote mkuu ukitoa Libya na Sudan na Ethiopia & Somalia kwa sehemu(hapa hata mataifa ya Ulaya na Asia yana mikono).....huku kwingine kama Drc, Sahel Waarabu hawapo huko.

Kiufupi Dunia ya Sasa ina vurugu tu, Kila mmoja anajiingiza anapoona atanufaika.
Nimeona leo Al Jazeera watu wameandamana South Africa kuipinga Israel
 
Kuna mawili either wewe ni:-
1. MKRISTO MPUMBAVU,kama wale viongozi wao wa dini wanaowaambia watawapa utajiri kwa nguvu mungu wa Israel huku Israel wakipewa msaada wa Trillioni 30 kila mwaka na U.S😆😅😂 au
2.WEWE NI HANITHI,NA LIPUMBAVU,ona hapa ni mataifa mangapi yanaongoza kulidao lin nchi lako la kijinga?View attachment 3116363
Tulikopa nini Iraq na Iran, Mafuta?
 
Sio vita vyote mkuu ukitoa Libya na Sudan na Ethiopia & Somalia kwa sehemu(hapa hata mataifa ya Ulaya na Asia yana mikono).....huku kwingine kama Drc, Sahel Waarabu hawapo huko.

Kiufupi Dunia ya Sasa ina vurugu tu, Kila mmoja anajiingiza anapoona atanufaika.
Screenshot_20241005-231429.png
psc_cape_town_march_dh_1332_copy_extra_large.jpg
psc_cape_town_march_dh_5738_copy_extra_large.jpg
psc_cape_town_march_dh_1505_copy_extra_large.jpg
psc_cape_town_march_dh_9547_copy_extra_large.jpg
Screenshot_20241005-231540.png
 
Ukiondoa magaidi ya madawa ya kulevya yaliyopo nchi za Caribbean na America ya Kati ambao wanaendesha biashara ya madawa ya kulevya, nchi hatari zaidi dunia kushirikiana nazo na hasa kwa nchi za Kiafrika ni za Mashariki ya Kati.

Vita vyote vinavyopiganwa Afrika hivi sasa vina mkono wa UAE, Yemen, Iran, Egypt, Saudi Arabia, Oman, Lebanon, Syria nk. Hata vita huko Afghanistan na Pakistan ni nchi hizo hizo zinafadhili.

Mbaya zaidi wanatumia itikadi kali za kidini kupata uungwaji mkono na baadhi ya viongozi na wananchi wa nchi husika.

Ni vema Serikali yetu ikachukuwa tahadhari kubwa kila inapoingia mikataba na nchi hizi kwani ni hatari kwa mustakabali wa ustawi wa nchi ye
Kule ni vita mura
 
Back
Top Bottom