Tanzania imefeli vibaya kwenye vituo vya reli ya kisasa(SGR)

Unasema we ni engineer unahusika kambi ipi??? Mana me pia ni engineer kipande cha dar Moro kambi ya dar
Huyo nimemhoji maswali kibao ili athibitishe kama kweli ni site engineer kwenye huu mradi lakini kala kona!
Fuatilia posts zangu uone maswali yenyewe. Kwa mtu aliyeko saiti hatashindwa maswali hayo.
Hajui hata cbr ya earthwork fill material inayotumika kujengea tuta.
 
Ni mpumbavu sana huyo na kenge asiye na sehemu za siri...anafikili/kuzani wote ni nyumbu kama yeye.
 
Ahsante sana mkuu kwa kutambua bidii yetu na uzalendo wetu katika kulitumikia taifa kwenye mradi huu. Nakumbuka kipindi kile contractor alipoanza kufanya kazi usiku na mchana, kutokana na idadi yetu ilivyokuwa tulifanya kazi usiku na mchana. Haikuwa rahisi lakini tuliweza.
 
Tanzania tuna wambeya hadi ma ma injinia aiseee mleta mada nakutunuku digriii ya PHD IN umbeya engineering
 
Ni mpumbavu sana huyo na kenge asiye na sehemu za siri...anafikili/kuzani wote ni nyumbu kama yeye.
Usijali ndugu yangu, hapa JF asilimia 95 au zaidi ni maadui wa maendeleo ya Tanzania kwa vile wanamchukia JPM. Chuki yao ni husda tu maana jamaa anachanja mbuga. Kusema za ukweli akifanikiwa vitu viwili SGR na umeme vyote vya bei halali bila kuweka cha juu! Ataacha legacy kiboko! Wabaya wake hawapendi afanikiwe ndo maana nyuzi zao ni uharo mtupu! Hao watu ni akina Salary Slip Quinine Mwanahabari Huru etc! Inaumiza ila tujitahidi kuwavumilia na pia tumuombee JPM asipatwe na jambo lolote ili akamilishe miradi hii miwili na barabara katika kipindi chake cha miaka 7 iliyobaki la sivyo yatakuwa ya Karume na nyumba ambazo zimemelizika juzi tu
 
Weka picha
 
Mmeweka video Kwenye TRC reli TV ila watanzania wengi wamesema vituo ni vibaya jiulize why watu wavipinge
Usanifu na Ujenzi wa Vituo, umezingatia Matumizi ya pesa za Wananchi kama ufafanuzi ulivyotolewa. Pia Usanifu na Ujenzi wa Vituo umezingatia kuwa mahitaji kwa siku za mbeleni yanaweza ongezeka hivyo miundominu ya vituo hivyo ni rafiki kwa ajili ya kupanua na kuongeza ukubwa wa vituo hivyo.
 
Wee mleta mada mpumbavu na mjinga wa wajinga nakosa hata tusi la kukupachika kibaraka mbwa koko wa waliokutuma $&#&#&&
 
km raman ni mbaya ana haki kuiponda!
Kwa yeyote ambaye anaufahamu wa mambo ya corporate, huyu jamaa amekiuka misingi yake .
Inawezekana maoni yake ni tofauti na wenzake sasa yeye baada ya kuona his point of view haikutiliwa maanani anakuja kwetu. Hili siyo sawa. Kama kweli huyu jamaa ni engineer na bado yupo kwenye hiyo project basi atajikuta pole pole anaachwa na mwisho wa siku atakuwa frustrated.
Whistle blowers huwa hawana nafasi kwenye corportates.
Mfano halisi ni kama vile huyu ndugu yetu angekuwa kwenye CC ya CCM au CDM, halafu akatoa hadharani mambo ambayo ameshindwa kuyajengea hoja kwenye vikao stahili wangemfanya nini?
 
Please fuatilia comments zangu kuhusu hii mada. Jamaa kala kona baada ya kuona maswali yangu.
In short huyo jamaa siyo engineer na hayuko kwenye mradi wa sgr.
 
Please fuatilia comments zangu kuhusu hii mada. Jamaa kala kona baada ya kuona maswali yangu.
In short huyo jamaa siyo engineer na hayuko kwenye mradi wa sgr.
Ha ha ha ha Ningestaajabu sana kama huyu jamaa ni engineer kweli , ameajiriwa kwenye mradi huu na kuweza kusema aliyoyasema.
 
Mnapinga ila ukweli ndo huo Yapi Merkez kwenye station hayupo vizuri angalia alichowafanyia ethiopia hadi humuhumu watu waliziponda station za Ethiopia ila wewe uliyesoma political science unajifanya unajua
Empty set
Hivi hiyo design imetolewa na Merkez?
Ninavyoelewa mimi ni kuwa Merkez ni mkandarasi. Designs za reli pamoja na hizo stations hawakutengeneza wao na hata hivyo hizo designs zimepitia mikondo mingi serikalini kabla ya kuthibitishwa. Kazi ya mkandarasi ni kujenga kama ilivyoainishwa kwenye design na anasimamiwa na consultant.
 
Huu mradi ni design and build.
Contractor: Yapi Merkezi and Mota-Engil Africa JV
Designer: Yapi Merkezi + COWI SENER
Review + approve design and supervision: Korea Railroad JV
Korea railroad JV ni joint venture ya makampuni 8 kutoka nchi ambazo baadhi ni: South Korea, Tanzania, Italy, Germany, Botswana, etc.
 
Wakati mwingine jaribu basi kutumia akili hata kidogo tu, wewe kweli ni mhandis kama unavyosema? Hiiv kwenye usafir kinachoangaliwa ni uhakika wa safari na usalama ama ni marembo? Wewe unapakia hizo station ama unapakia treni?
 
lamaana mtu usafiri ukike salama mathalani mtu wa Kigoma atumie masaa 9 kufika kigoma badala ya kutumia siku mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…