Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

Tanzania imefika pabaya sana, nchi za magharibi zikimwaga silaha nchini na kuweka vikundi vya waasi, vijana wataunga mkono kwa wingi dhidi ya serikali

Hilo halitakaa litokee mkuu, Watanzania ni wapenda amani mno.
 
Naona mnatoa mifano ya Gadafi lakini hamsemi hali halisi huko Libya. Vipi walibya wanaishi kwa starehe baada ya kuuwawa Gadafi?
 
Hizi fikra zipo mitandaoni tu, huku uraiani tunapambana na bei ya nyanya, moja 400.
 
Jamaa wakiingia mi najiunga nao!ndoto zangu naona sitozifikia!Bora kulipuka kuliko kukaa kijinga kwa propaganda za lumumba!!!
 
Mmh Watanzania hawa ninao wajua eti wakapigani [emoji23][emoji23][emoji23] subutu acha uwongo wewe kijana

Sent from my iPhone using JamiiForums

Achana na ushawishi wa watu weupe watz wanaweza kubadilika soon
 
Back
Top Bottom