YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Maandamano ya mange kimambi muliingia mitini sembuse kupiganamkuu amini nakwambia wanakosa ground tu kwa vile wanabanwa wakiingia kama walivoingia Syria hutoweza kuamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maandamano ya mange kimambi muliingia mitini sembuse kupiganamkuu amini nakwambia wanakosa ground tu kwa vile wanabanwa wakiingia kama walivoingia Syria hutoweza kuamini
mkuu mbna unaniface mimi, mimi sio mwanasiasa nimetoa tu nilichosikia mtaaniMaandamano ya mange kimambi.muliingia mitini sembuse kupigana
Na ndyo maana kunawatu hawalali kwa ajili ya kuhakikisha hayo hayatokei
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili imechokaNimezaliwa bongo nimekulia bongo.
Wabongo nawajua vizuri.. hakuna wa kupigana na mtu wala kushika mtutu.
Labda mwananchi wa huko Syria Syria ,libya,Somalia lakini bongo just RETHINKTunaokumbuka yaliyotokea kibiti, na yale mapigano ya mwembe chai,,tumanaamini kabisa wananchi wakiamua lao hakuna wakuwapinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh Watanzania hawa ninao wajua eti wakapigani [emoji23][emoji23][emoji23] subutu acha uwongo wewe kijana
Sent from my iPhone using JamiiForums