#COVID19 Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya Covid-19

Nchi iko Salama wakati the sitting Presdint , Namaana Mwendazake amekufa kwa Corona
 
Kunania ovu ya wazi Kabisa na taifa letu tz.. ama inafanywa bahati mbaya au kwa makusud ili kuua kiaza hiki...

Naimani Mungu atatuepusha na janga hli la mbinu chafu
Chanjo ni hiari jombi.
Wewe si ubaki na M*vi yako? Kwani umelazimishwa?
 
Mjulisheni Rais kuwa lockdown nyingine imeanza Uganda tangu jana,maana huenda hajaona taarifa ya BBC,na Uganda walichanjwa.
kazaneni kumpotosho.
 
Chanjo zinakinga umma. Unaweza kutembea na virusi ukiwa na kwa afya nzuri wewe mwenyewe lakini unasambaza virusi kwa sababu zinastawi ndani yako bili kukupa madhara.
Hivyo ni busara kutoruhusu watu bila kinga katika mikutano penye watu wengi.
Nani anakulazimisha kuingia katika uwanja kwa michezo hii? Kaa nyumbani uwashe runinga.
Sijui kwamba mtu analazimishwa kuhiji (hawezi kuingia bila chanjo) au kusafiri kwnda nchi wanapokataa watu wasio na chanjo.
Huwezi kufanya safari bila pasipoti pia. Najua watu wengi wasio na pasipoti. Hakuna aliyejaribu kuwalazimisha.
 

Toa upumbavu wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…