Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,176
- 10,068
Pole Pole atakuwa mtu wa Kwanza Kudungwa Q'babake zake... Mataga mjiandae kudungwa Covid vaccination ikibidi kwa lazima daaadeki!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole Pole atakuwa mtu wa Kwanza Kudungwa Q'babake zake... Mataga mjiandae kudungwa Covid vaccination ikibidi kwa lazima daaadeki!
Nchi iko Salama wakati the sitting Presdint , Namaana Mwendazake amekufa kwa CoronaMungu atawahukumu siku moja liteendeeni taifa hili kama muaonavyo ipo siku mtalipa gharama,mtajutia uamuzi huu.
Nchi iko salama mnataka kuleta taharuki na kuangamiza vizazi vijavyo,ole wenu.
Ni nchi gani iko salama kwa sababu wamechanjwa? Hakuna uchungu na maisha ya Watanzania mnaendekeza pesa za mkopo?
Sasa tuwe watumwa kwa kipande cha mkate.
lazima mjue kilio cha wana wa Tanzania kitakapofiki kwenye kiti cha enzi ndo mtajua yuko Mungu aliyeumba mbingu na nchi.
wasikilizeni tu hao wanao wapotosha.
Chanjo ni hiari jombi.Kunania ovu ya wazi Kabisa na taifa letu tz.. ama inafanywa bahati mbaya au kwa makusud ili kuua kiaza hiki...
Naimani Mungu atatuepusha na janga hli la mbinu chafu
Kamtishe Mumeo wewe BwegeKwa vile umezidi kunituka bila sababu utapatwa na jambo baya sana tangu kuzaliwa,utajutia matusi yako haya,ili ujue kuwaheshimu watu.
Chanjo zinakinga umma. Unaweza kutembea na virusi ukiwa na kwa afya nzuri wewe mwenyewe lakini unasambaza virusi kwa sababu zinastawi ndani yako bili kukupa madhara.As far as covid 19 is concerned vaccination has never been voluntary anywhere in the world!! People are subjected to fear by introducing the so called corona vaccination passports! (they have different names for different countries but the essence is tha same), without which you are denied some services! For example right now you cannot watch Euro 2020 matches without one! To hell with their covid 19 vaccinations !
Mungu atawahukumu siku moja liteendeeni taifa hili kama muaonavyo ipo siku mtalipa gharama,mtajutia uamuzi huu.
Nchi iko salama mnataka kuleta taharuki na kuangamiza vizazi vijavyo,ole wenu.
Ni nchi gani iko salama kwa sababu wamechanjwa? Hakuna uchungu na maisha ya Watanzania mnaendekeza pesa za mkopo?
Sasa tuwe watumwa kwa kipande cha mkate.
lazima mjue kilio cha wana wa Tanzania kitakapofiki kwenye kiti cha enzi ndo mtajua yuko Mungu aliyeumba mbingu na nchi.
wasikilizeni tu hao wanao wapotosha.
Kunania ovu ya wazi Kabisa na taifa letu tz.. ama inafanywa bahati mbaya au kwa makusud ili kuua kiaza hiki...
Naimani Mungu atatuepusha na janga hli la mbinu chafu