#COVID19 Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya Covid-19

#COVID19 Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya Covid-19

Mengi atafanya lakini kwenye katiba mpya sijui!!kwani hata kama nia hiyo anayo lakini wazee(wahafidhina) walioko kwenye chama , ni kikwazo sana, kwani wanajua kabisa hii katiba ndio mlinzi mkubwa wa kuwepo CCM!!Any way cjui kwenye hili atafanyaje!!!

Mkuu hata hili la Corona ambalo chanjo tu ni hiari unaweza kuona wahafidhina na the brainwashed walivyo komaa. Hata hili hawataki tunaotaka kuchanjwa tuchanjwe. Wanataka kama vipi tufe wote tena kibudu tu. Lakini Mama mbona kaamua kama mbwai na iwe mbwai?

Hata katiba ninaamini itakuwa hivyo hivyo. Mama itabidi kuamua ku risk kulazimishwa kuhusiana na katiba na kujiweka hatarini zaidi yeye mwenyewe, au yeye kuwa wa kuliongoza hili pia kwa salama na akiungwa mkono na waungwana.

Kingine ni kuwa wengi wa wahafidhina na the brainwashed waliopo huko wanajulikana kuwa ni weupe wa kutupwa! Hawana hoja na hawajui nini wanataka au nini hawataki. Humo limo kundi la wapiga debe, machinga, boda boda na wa namna ya kina nanihii waliomo humu JF.

Kikubwa ni nia ya kutenda haki ambayo hiyo mama anayo. Mola na akamtangulie tu.
 
Mkuu wa shirika la afya duniani kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya COVID-19 kwa mataifa maskini wa COVAX.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliunda tume ya ushauri kuhusu janga la virusi vya corona iliyotoa mapendekezo kadhaa, ikiwemo uwezekano wa kupokea chanjo.
===

June 17 (Reuters) - Tanzania hopes to join the COVAX global vaccine-sharing facility, the World Health Organisation said on Thursday, the latest sign it has changed tack following the death in March of COVID-19- and vaccine-sceptic president John Magufuli.

A WHO official said vaccines could arrive in the country of 58 million people within two weeks.

Since taking office in March, new president Samia Suluhu Hassan has sought to gradually bring Tanzania into line with global public standards for tackling COVID-19.

The country is one of only four in Africa that have yet to start vaccination campaigns, according to the Africa Centres for Disease Control and Prevention.

"We have received information that Tanzania is now formally working to join the COVAX facility," the WHO's regional director for Africa Matshidiso Moeti told a news conference.

Richard Mihigo of the WHO's Immunization and Vaccines Development Programme in Africa said Tanzania had taken the preliminary steps of submitting a vaccine request form to COVAX and starting to prepare a vaccine deployment plan.

"We are expecting the vaccines to arrive in the country in the next couple of weeks," he told the briefing.

Tanzanian authorities were not immediately reachable for comment.

In another indication of the country's new approach, its finance minister said last week that the government has asked the International Monetary Fund for a $571 million loan to help it tackle economic challenges posed by the pandemic.

The IMF said Tanzania will be required to provide data on coronavirus infections as part of the talks for the loan.
Tanzania stopped reporting COVID-19 cases and deaths in May 2020 and despite other policy changes by the new president, has not resumed publicly reporting data.

"We are strongly encouraging the country, now that it's going to address the situation through vaccination, to share data with us so that we can play the most effective role in helping -- for example in targeting, in the planning, where to start, where to focus, that can only be done on the basis of evidence," Moeti said. (Reporting by Omar Mohammed; Additional reporting and writing by Maggie Fick; Editing by Catherine Evans)
Tanzania haikuliweka hili wazi hili na WHO wameamua kuliweka hadharani ombi hili la Tanzania!! Ila serkali ilishasema ni hiari mtu kuchanjwa. Ila wasituwekee vikwazo sisi ambao hatuhitaji hii chanjo kwa ajili ya corona hewa! Mungu alishatuponya!! Corona haipo!! Asiyeamini uponyaji na ulinzi wa Mungu tuliomwomba acha achanjwe!! Msikilize huyu Mzanzibari yeye ameshachanjwa tayari.

Mtoto akililia wembe mpe!! Naogopa kuwa hii methali huenda ikatimia kwa nchi yetu.
 
Wewe ndo unapiga kelele. Unaona sawa kuwa na katiba ambayo rais anasema akipita mpinzani mkulugenzi aandike barua ya maelezo?
kwani ya sasa inatatizo gani hebu eleza tukusikie unaweza ukawa hata hii ya sasa huijui unapiga kelele tuo
 
Mtoto akililia wembe mpe!! Naogopa kuwa hii methali huenda ikatimia kwa nchi yetu.
Haitaji akili nyingi kujua kutakuwa na mwitikio mdogo sana. Ukitoa Tanzania ya mtandaoni huku uswahilini raia wanakubaliana na mwendazake kwenye hili suala chanjo acha hilo watendaji wengi kwenye Wizara ya Afya wenye jukumu la kuhamasisha wao wenyewe hawaamini hizo chanjo. Mbaya zaidi sioni Mama Samia akiwakabili wananchi na kuwaambia mwendazake alikosea kwenye suala la chanjo na hamna mwanasiasa mwenye ushawishi wa kufanya hivyo kwenye hii nchi.
 
Hii style Terry McMillan anaiita "A Day Late and A Dollar Short".

Tuliwaambia mbio za sakafuni huishia ukingoni.
 
Tutaelewana tu.

Hakuna tatizo tena.

Tanzanai sio kisiwa cha kuweza kujitenga na dunia.
Kwa habari ya corona Tanzania ni kisiwa!! Mungu ametufanya tuwe kisiwa kwa kutuponya na kutukinga na corona!! Kwa Tanzania kupata corona ni hiari!! Kwa hiari yake mwenyewe mtanzania anaweza kukataa uponyaji wa Mungu dhidi ya corona na kwa kukataa huko corona inapata nafasi kagika maisha yakè. Na mtu akiiruhusu corona, chanjo haitamsaidia kitu wala barakoa haitaizuia. Lakini mtu akiendelea kukiri uponyaji na ulinzi wa Mungu, corona haina nguvu ya kumwingia na hahitaji chanjo!! Kupanga nikuchagua! Kwa upande wangu nimechagua kukubali na kuamini uponyaji na ulinzi wa Mungu!!
 
Wabwege watapinga sana chanjo ila itapokuja watakuwa wa kwanza. kuigombania. Nakumbuka miaka ya 90 jinsi watu walivyogombea chanjo ya uti wa mgongo hadi police kuitwa kutuliza fujo, ni baada ya meningitis kulikumba taifa na kuua mamia. Nawashauri hawa jamaa wagomee chanjo na Dawa zote za wazungu. Msipeleke watoto wenu kwenye chanjo ya polio, kifua kikuu, surua, tete kuwanga, ndui, halafu baada ya miaka mtapata majibu. Na wake zenu wakati wa kujifungua wasichome chanjo ya pepopunda
 
Mkuu nilichogundua kuna watu humu ni ama wapumbavu ama ni mawakala wa hiyo chanjo,usiumize ubongo wako.
Inauma sana kuna mijitu haielewi chochote eti hatuwezi jitenga kwani hao majirani zetu waliochanjwa mpaka sasa wanateseka tu.
 
Kuna nchi fulani Middle East % kubwa ya raia wake wamechanja tena wamemaliza 2 dosages lakini cha kushangaza watu wanakufa above 50 everyday na maambukizi yanaongezeka kila siku though walifuata ushauri wote wa nchi za mangharibi
 
Mkuu wa shirika la afya duniani kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya COVID-19 kwa mataifa maskini wa COVAX.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliunda tume ya ushauri kuhusu janga la virusi vya corona iliyotoa mapendekezo kadhaa, ikiwemo uwezekano wa kupokea chanjo.
===

June 17 (Reuters) - Tanzania hopes to join the COVAX global vaccine-sharing facility, the World Health Organisation said on Thursday, the latest sign it has changed tack following the death in March of COVID-19- and vaccine-sceptic president John Magufuli.

A WHO official said vaccines could arrive in the country of 58 million people within two weeks.

Since taking office in March, new president Samia Suluhu Hassan has sought to gradually bring Tanzania into line with global public standards for tackling COVID-19.

The country is one of only four in Africa that have yet to start vaccination campaigns, according to the Africa Centres for Disease Control and Prevention.

"We have received information that Tanzania is now formally working to join the COVAX facility," the WHO's regional director for Africa Matshidiso Moeti told a news conference.

Richard Mihigo of the WHO's Immunization and Vaccines Development Programme in Africa said Tanzania had taken the preliminary steps of submitting a vaccine request form to COVAX and starting to prepare a vaccine deployment plan.

"We are expecting the vaccines to arrive in the country in the next couple of weeks," he told the briefing.

Tanzanian authorities were not immediately reachable for comment.

In another indication of the country's new approach, its finance minister said last week that the government has asked the International Monetary Fund for a $571 million loan to help it tackle economic challenges posed by the pandemic.

The IMF said Tanzania will be required to provide data on coronavirus infections as part of the talks for the loan.
Tanzania stopped reporting COVID-19 cases and deaths in May 2020 and despite other policy changes by the new president, has not resumed publicly reporting data.

"We are strongly encouraging the country, now that it's going to address the situation through vaccination, to share data with us so that we can play the most effective role in helping -- for example in targeting, in the planning, where to start, where to focus, that can only be done on the basis of evidence," Moeti said. (Reporting by Omar Mohammed; Additional reporting and writing by Maggie Fick; Editing by Catherine Evans)
Ngoja uone jinsi hila za kibeberu kuhusu corona zitasumbua nchi yetu baada ya samia kusaliti msimamo wa magufuli. Utasikia watu wakihangaishwa kila siku tukitiwa hofu na gharama kibao kuhusu corona. Nchi tumekua tunaenda salama bila usumbufu na kukwama mambo ya uchumi. Kwa hili samia hatutakusamehe.
 
Msigwa amesema...

Serikali bado inafanyia uchakataji ripoti (mapendekezo) ya tume

Wala hajui hata kama WHO wamesema (wAmetangaza) hivyo

Watanzania wawe na subira serikali itatoa msimamo wake (kama kuna chanjo au laa! Na kama ipo itapitia mlolongo gani)
 
Ombi langu tusije tukafika mahali pa kumtenda Mungu dhambi kwa ajili ya kutaka misaada tukasema uongo kwa kusingizia vifo vya corona ambavyo havipo kama hawa jirani zetu wanavyotia aibu. Wanazika majeneza tupu huku wamevaa manguo yakujikinga na corona. Mmojawao akawatonya watu na watu wakavamia mazishi hayo mazishi hewa na wakalazimisha kufungua hayo majeneza na kukuta hakuna maiti ndani ila kuna matakataka tu.Fungua link hii ujionee mwenyewe. Anayeweza kusikiliza kiganda atujuze zaidi!
 
Back
Top Bottom