Huruma siyo malezi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,433
- 3,210
Kwahiyo hatimae tumepatikana au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeambiwa Tz Ni Nchi yenye watu 58mil. Jiulize hilo Ni deal la chanjo ngapi, Tena irudiwe angalau mara 3 pata gharama kama dola 37 linganisha na mikopo na misaada tutakayopewaTutaelewana tu.
Hakuna tatizo tena.
Tanzanai sio kisiwa cha kuweza kujitenga na dunia.
Mbona mnapenda kumtaja Mungu na kumshirikisha kwenye mambo ya kijinga?Mungu atawahukumu siku moja liteendeeni taifa hili kama muaonavyo ipo siku mtalipa gharama,mtajutia uamuzi huu.
Nchi iko salama mnataka kuleta taharuki na kuangamiza vizazi vijavyo,ole wenu.
Ni nchi gani iko salama kwa sababu wamechanjwa? Hakuna uchungu na maisha ya Watanzania mnaendekeza pesa za mkopo?
Sasa tuwe watumwa kwa kipande cha mkate.
lazima mjue kilio cha wana wa Tanzania kitakapofiki kwenye kiti cha enzi ndo mtajua yuko Mungu aliyeumba mbingu na nchi.
wasikilizeni tu hao wanao wapotosha.
sura ikibadilika zaidi ya pale anakuwaje mfano?!Polepole akiona hii anabadilika sura, bado anataka tubaki kwenye nyungu.
Akili za nchi hii zimeanza kurejea, hongera mama!Mkuu wa shirika la afya duniani kanda ya Afrika Matshidiso Moeti amesema Tanzania imewasilisha ombi la kujiunga na mpango wa kugawana chanjo dhidi ya COVID-19 kwa mataifa maskini wa COVAX.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliunda tume ya ushauri kuhusu janga la virusi vya corona iliyotoa mapendekezo kadhaa, ikiwemo uwezekano wa kupokea chanjo.
===
June 17 (Reuters) - Tanzania hopes to join the COVAX global vaccine-sharing facility, the World Health Organisation said on Thursday, the latest sign it has changed tack following the death in March of COVID-19- and vaccine-sceptic president John Magufuli.
A WHO official said vaccines could arrive in the country of 58 million people within two weeks.
Since taking office in March, new president Samia Suluhu Hassan has sought to gradually bring Tanzania into line with global public standards for tackling COVID-19.
The country is one of only four in Africa that have yet to start vaccination campaigns, according to the Africa Centres for Disease Control and Prevention.
"We have received information that Tanzania is now formally working to join the COVAX facility," the WHO's regional director for Africa Matshidiso Moeti told a news conference.
Richard Mihigo of the WHO's Immunization and Vaccines Development Programme in Africa said Tanzania had taken the preliminary steps of submitting a vaccine request form to COVAX and starting to prepare a vaccine deployment plan.
"We are expecting the vaccines to arrive in the country in the next couple of weeks," he told the briefing.
Tanzanian authorities were not immediately reachable for comment.
In another indication of the country's new approach, its finance minister said last week that the government has asked the International Monetary Fund for a $571 million loan to help it tackle economic challenges posed by the pandemic.
The IMF said Tanzania will be required to provide data on coronavirus infections as part of the talks for the loan.
Tanzania stopped reporting COVID-19 cases and deaths in May 2020 and despite other policy changes by the new president, has not resumed publicly reporting data.
"We are strongly encouraging the country, now that it's going to address the situation through vaccination, to share data with us so that we can play the most effective role in helping -- for example in targeting, in the planning, where to start, where to focus, that can only be done on the basis of evidence," Moeti said. (Reporting by Omar Mohammed; Additional reporting and writing by Maggie Fick; Editing by Catherine Evans)
"mtajua yuko Mungu aliyeumba mbingu na nchi" - Sawa! Ila sijui - Mungu wako aliumba Tanzania pekee (ya awamu ya 5)?Mungu atawahukumu siku moja liteendeeni taifa hili kama muaonavyo ipo siku mtalipa gharama,mtajutia uamuzi huu.
Nchi iko salama mnataka kuleta taharuki na kuangamiza vizazi vijavyo,ole wenu.
Ni nchi gani iko salama kwa sababu wamechanjwa? Hakuna uchungu na maisha ya Watanzania mnaendekeza pesa za mkopo?
Sasa tuwe watumwa kwa kipande cha mkate.
lazima mjue kilio cha wana wa Tanzania kitakapofiki kwenye kiti cha enzi ndo mtajua yuko Mungu aliyeumba mbingu na nchi.
wasikilizeni tu hao wanao wapotosha.
Ndugu soma habari kabla ya kuchangia. Mkopo ni "to help in tackling economic challenges of the Covid-19 pandemic".Yani unakopa mkopo wa 1.2 trillions kwa ajiri ya vaccine? We passed through phase one and phase two epidemic then unaleta vaccine for what? Mkopo ??? Serious?? Ok.sawa
Ww umeshadugwa ya taqoni... Mataga mjiandae kudungwa Covid vaccination ikibidi kwa lazima daaadeki!
Wewe hata jogoo la mmeo likishindwa kusimama ili akupande unasingizia yule bwanaKilichobaki Mama aseme neno sasa kuhusu katiba mpya ili tuanze kampeni ya kumpa 5 mingine ile ya haki kweri kweri.
Yule bwana alikuwa katuchelewesha sana!
Mimi ni ccm na sitachanjwa ila ntajitolea kuwashika matakle bavicha ili chanjo zipenye vizuri... Mataga mjiandae kudungwa Covid vaccination ikibidi kwa lazima daaadeki!
Mengi atafanya lakini kwenye katiba mpya sijui!!kwani hata kama nia hiyo anayo lakini wazee(wahafidhina) walioko kwenye chama , ni kikwazo sana, kwani wanajua kabisa hii katiba ndio mlinzi mkubwa wa kuwepo CCM!!Any way cjui kwenye hili atafanyaje!!!Kilichobaki Mama aseme neno sasa kuhusu katiba mpya ili tuanze kampeni ya kumpa 5 mingine ile ya haki kweri kweri.
Yule bwana alikuwa katuchelewesha sana!
Kwa kawaida wanadunga mkono wa juu. Labda, ukiomba sana, utaipata pale unapopendelea.Ww umeshadugwa ya taqoni