Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Acheni kulialia dawa yenu inachemka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa mjinga Sana, anadhani kifo kina fundi!Wameziba mianya yenu ya udokozzi sasa hampumui?
Kuna mtu alijifanya mtabili huko arusha
Walipompereka gereza la kisongo akapoteana na utabili wake, mpaka sasa hajui kama alitabili nini?
Maana 2020 ndo hii mwamba anapasua anga tu.
Na wewe iko siku utajikuta unapigania roho yako ukiwaacha unaotaka wafe wanatafuna pop con.
Na sio mm tu, ni wengi wanaomba wafe ili kuliponya Taifa na upuuzi wao...Fikiria wewe Ni msafi kiasi gani? Unahisi wewe unamfurasha Sana Mungu na una haki kuliko hao?
Mangapi unayoyafanya kuumiza wengine na hujiombei kifo?
Think like a man!
Mkuu siamini kabisa Kama tutafika huku na Kama ikiwa hivi mapinduzi ya kiraia au ya kijeshi itakuwa Ni halali.1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais
2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.
3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.
4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.
5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.
Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.
Poleni sana Watanzania
Idi Amin hakufa kifo cha aibu! Hapo sahihisha kafanye utafiti wa hilo kwanza.
Mbona Tundu Lissu mnamuombea afe? Ni Mungu wake tu alimtetea.Kumuombea mtu kifo Ni ushenzi wa Hali ya juu, unajiweka Kama vile wewe una hatimiliki ya uhai? Badili mtazamo,!
Inakusaidia nini na ushabiki maandazi ?!Mtake msitake
Ni sehemu ya maisha ya binadam,Mwaka huu lazima mmoja wapo arudishe namba... lazima nakwambia.. lazima
Ila kujiongezea muda wa madaraka siyo ushenzi.Kumuombea mtu kifo Ni ushenzi wa Hali ya juu, unajiweka Kama vile wewe una hatimiliki ya uhai? Badili mtazamo,!
Hakufia uganda ila maisha yake baada ya kupinduliwa yalikuwa mazuri sana -Alifia mji gani wa Uganda?
Nitakufa lkn cwezi kugharimu maisha ya watanzania Kama hao mbwa ..ni washenzi sana tena sana...Ni sehemu ya maisha ya binadam,
Wewe una mkataba wa kufa mwaka gani?
Nani kajiongezea? Au kauli za wajinga unazipa kipaumbele? Magufuli hawezi kajiongezea mda hata kidogo!Ila kujionge
kujiongezea muda wa madaraka siyo ushenzi.
Hawezi kvp wkt yy ndo anawatuma??Nani kajiongezea? Au kauli za wajinga unazipa kipaumbele? Magufuli hawezi kajiongezea mda hata kidogo!
Hizo tabia zenu watoto msiojuwa baba ndo zinawaponza,Nitakufa lkn cwezi kugharimu maisha ya watanzania Kama hao mbwa ..ni washenzi sana tena sana...
Una akili FUPI sana.na pole sana.lini MAGUFULI kawakemea na kusema sitaki kumsikia mtu azungumzie hizo habari za kuongeza mda?.Kama hausiki akemee .SIKIA JARIBU KUBWA LA MAGUFULI NI TAMAA YA MOYO WAKE. ili swala ni lakeNani kajiongezea? Au kauli za wajinga unazipa kipaumbele? Magufuli hawezi kajiongezea mda hata kidogo!
Mpuuzi mkubwa ww, labda mtoto ww ambaye mpk uwalambe watu matako ndo uende choo...utakuwa ulizaliwa kilabuni , kilabu cha pombe ya kienyeji sumbawanga tunaita ( chimpumu ) jitafutie acha kuimba mapambio yasiyokuwa na uhalisia dogoHizo tabia zenu watoto msiojuwa baba ndo zinawaponza,
mmefundishwa ujinga na viongozi wenu ambao wanazalisha mama zenu na kukimbia watoto, kiwanda cha kuzalisha ni kiongozi wenu sasa mguu umevunjika.
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais
2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.
3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.
4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.
5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.
Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.
Poleni sana Watanzania
Duh! Hiyo namba 4 hata wakisema wanampa bure yeye mwenyewe atakataa kwasababu naamini ataona aibu1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais
2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.
3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.
4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.
5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.
Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.
Poleni sana Watanzania
Hata Iddy Amin alikuwa na jeuri kuliko hii, lakini alikimbia nchi na kufa kifo cha aibu sana. Muda utasema.