Uchaguzi 2020 Tanzania inaenda kuwa nchi tofauti sana kama hii mipango itafanikiwa

Uchaguzi 2020 Tanzania inaenda kuwa nchi tofauti sana kama hii mipango itafanikiwa

Mkuu nakuhakikishia ya nkurunzinza yatamkuta hata kabla hajamaliza muhula wa pili!!!!!Mungu hatakagi ujinga!!!Mateso na vilio vya watz vimemfikia muumba wao lazima atatenda!!!
 
Hapa ndipo ninajifunza, mwenye maamuzi ya mwisho kwenye ustawi wa hili taifa ni mwananchi mwenyewe, tuamke usingizi sasa.

Tukiendelea kuwatazama wakituchezea michezo yao, basi watatuchezea kila aina ya mchezo, na hatutakiwi kukasirika, tuendelee kuwatazama kila aina ya igizo lao watakaloamua kutuletea.

Mfano: Maigizo ya bungeni kuongeza muda wa Rais kubaki madarakani, naamini na mengine yatafuata.
Maigizo bungeni yanapatikana Nchi masikini haswa Afrika.
 
M
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais

2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.

3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.

4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.

5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.

Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.

Poleni sana Watanzania
Mafisadi yalikuwa yanasubiri ikifika 2025 yaanze wizi upya,hakunaga hiyo.bunge lijalo ni la ccm tu ,hivyo kuondoka hako kakipengele ka ukomo wa urais ni dakika sifuri.kiondolewe kabisaa,sisi tunstaka maendeleo.na mtetezi wa maendeleo ya wananchi ni JPM habari ya katiba hawajui.nape,makamba,riziwani, huu ndio ulikuwa ukoo wa wanaojiita Wana ccm.watulie maendeleo kwanza.
 
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais

2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.

3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.

4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.

5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.

Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.

Poleni sana Watanzania

Una akili FUPI sana.na pole sana.lini MAGUFULI kawakemea na kusema sitaki kumsikia mtu azungumzie hizo habari za kuongeza mda?.Kama hausiki akemee .SIKIA JARIBU KUBWA LA MAGUFULI NI TAMAA YA MOYO WAKE. ili swala ni lake
Upo sawa kabisa, yeye anapenda na ameridhia haya yanayoendelelea.
 
technically,

Kwani kama watakubali kwa hiari yao wewe shida ni nini?
Mbona mbowe alibadili katiba ya chadema na maswahiba wake na kufuta ukomo ila mkatuia tu?

Kama wengi wataridhia hakuna shida, ila ukisikia maumivu sana unaweza hama kwa muda ukaishi ubelgiji mpaka huo muda uishe.
Mkuu usichokijua ni kwamba kuwa mwanachama wa Chadema ni hiari ya mtu,ukiona Mambo yao hayakupendezi unaachana nao ndo maana Kila siku unaona watu wanaondoka Chadema na kwenda ccm,nccr na kwingineko.Nani umemsikia akiondoka Tanzania na kufanikiwa kuuvua huu utanzania? Wenzetu ujasiri wa kuufananisha nchi yetu na chama cha siasa sijui mnaupataga wapi
 
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais

2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.

3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.

4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.

5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.

Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.

Poleni sana Watanzania
Hii ni fact au theory au speculation au conjecture?
 
Kumuombea mtu kifo Ni ushenzi wa Hali ya juu, unajiweka Kama vile wewe una hatimiliki ya uhai? Badili mtazamo,!
Kuna mtu kazuiliwa kukanyaga nchi fulani sababu moja wapo ikiwa ni matendo yake ya kuua watu.anayeomba mtu afe na anayetumia nafasi yake kuua wengine ni Nani Bora kwako?
 
The dude is a notorious coffin dodger. Ila Israeli anamlia timing tu
Don’t say that dude, everybody living right now is a notorious coffin dodger since nobody knows when his/her casket will be dropped, this means that you too are also included in the dodging game.
Remember those people who used to have this kind of attitude towards Hon. Lowassa, most and if not all of them passed and the dude standstill.
 
Acha tu waongeze.Maana inaonekana Magufuli anafaidisha wengi na ni kundi la watu wachache tu ndio wanaumia.
 
1591868350579.png
1591868350579.png
1591868350579.png
 
technically,

Kwani kama watakubali kwa hiari yao wewe shida ni nini?
Mbona mbowe alibadili katiba ya chadema na maswahiba wake na kufuta ukomo ila mkatuia tu?

Kama wengi wataridhia hakuna shida, ila ukisikia maumivu sana unaweza hama kwa muda ukaishi ubelgiji mpaka huo muda uishe.
Nakubaliana nawe, kwanini watu wanaweza kubadili katiba ya chama ikaonekana ni sawa ila WANANCHI WAKITAKA KUBADILI YA NCHI WANALALAMIKA?
DEMOKRASIA NI KUKUBALIANA NA MAWAZO YA WENGI HATA KAMA KUNA KUNDI LA WATU WACHACHE HAWATAFURAHI.
 
Back
Top Bottom