Uchaguzi 2020 Tanzania inaenda kuwa nchi tofauti sana kama hii mipango itafanikiwa

Uchaguzi 2020 Tanzania inaenda kuwa nchi tofauti sana kama hii mipango itafanikiwa

Kiukweli haitakiwi kumuombea mtu kifo, lkn ule ukweli mi namuombe kifo kwa spika ndugai na jiwe..cku hawa watu wakifa nchi itapumua kwa furaha, yaani sio siri aisee.. watanzania wanawaombea kifo bc tu m/mungu naona anawalia timing..hadi October Kuna cku utapigwa wimbo wa Taifa tena saa 4 asbh tu na bendera nusu mlingoti...
CHADEMA Mnawaombea watu kifo halafu mnasema Tanzania? Acheni roho mbaya.
 
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais

2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.

3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.

4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.

5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.

Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.

Poleni sana Watanzania
Usiogope sana Kuna friend of Nkuruzinza
 
Chama ni kimeshika hatamu

Ova!
1590213780084.jpg
 
Hawa watu ni waroho na wabinafsi sana,na hizo hila zinafanywa na wanaofaidika na hii awamu
 
technically,

Kwani kama watakubali kwa hiari yao wewe shida ni nini?
Mbona mbowe alibadili katiba ya chadema na maswahiba wake na kufuta ukomo ila mkatulia tu?

Kama wengi wataridhia hakuna shida, ila ukisikia maumivu sana unaweza hama kwa muda ukaishi ubelgiji mpaka huo muda uishe.
Jibu murua kabisa hilo,kuna watu wanafiki sana.Hawaoni ya kwao,kweli ukiona vp hama tuu nchi
 
Hongera kwa ubashiri mzuri
Daima ubashiri huwa tofauti na maudhui
Huko unakowaza hatuendi
 
Back
Top Bottom