Uchaguzi 2020 Tanzania inaenda kuwa nchi tofauti sana kama hii mipango itafanikiwa

Mpuuzi mkubwa ww, labda mtoto ww ambaye mpk uwalambe watu matako ndo uende choo...utakuwa ulizaliwa kilabuni , kilabu cha pombe ya kienyeji sumbawanga tunaita ( chimpumu ) jitafutie acha kuimba mapambio yasiyokuwa na uhalisia dogo

Ungezaliwa na baba mwenye kueleweka usingekuwa na tabia za chooni,
Ungekuwa na maadili na heshima,
Ila kwa kuwa umetokea panya road
Mdoma utanuka shombo tu,
Mnaongozwa na viongozi wanopenda matusi na dharau pamoja na roho za giza,
Machungu mtabaki nayo sana CCM Bado ipoipo sana.
 
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais

2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.

3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.

4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.

5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.

Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.

Poleni sana Watanzania
Tumeipenda wenyewe chaguo letu wenywe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]acha tuisome namba
 
Si mpaka sasa

Yasipotokea ya Burundi au worse mimi nipo hapa
 
technically,

Kwani kama watakubali kwa hiari yao wewe shida ni nini?
Mbona mbowe alibadili katiba ya chadema na maswahiba wake na kufuta ukomo ila mkatuia tu?

Kama wengi wataridhia hakuna shida, ila ukisikia maumivu sana unaweza hama kwa muda ukaishi ubelgiji mpaka huo muda uishe.
Hivi kabla ya kugawa jicho huwa mnalipwa tsh ngapi ?
 
Mkuu technically angalia isije ikawa unawapa maarifa hayo...ccm haichelewi kuifanyia kazi hofu ya wapinzani wake
 
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais

2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.

3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.

4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.

5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.

Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.

Poleni sana Watanzania
Mkuu wangu, sikio la kufa halisikii dawa. Mpango huo unaweza kufanikiwa kabisa kwa Tanzania hii ambayo sisi RAIA wake marehemu Jomo Kenyatta aliwahi kutuita maiti.
Yaani pamoja na yote yanayowapata viongozi wa upinzani since awamu ya tano iingie madarakani lakini bado kuna kundi kubwa linaunga mkono na kuwakejeli sipati picha.
Hivi kazi wanayofanya kutupigania bungeni na nje na kuibua mazonge hawaioni? Wamejiuliza jee wakinyamaza hao hali itakuwaje? Nadhani itakuwa hovyo kuliko Korea kaskazini ambako hata hao wao chama ni kimoja sasa hivyo hakuna neno "sisi" ila lipo neno "yeye" pekee.
Lakini kwa mifumo ya Afrika tutaishia risasi, maasi kisha mapinduzi.
Maasi hayana macho, watu wanafyekwa hata wasio jua siasa ni nini. Mwisho ni mapinduzi lakini damu inakuwa imemwagika sio haba.
Sikiliza simulizi hii ya kumhusu SAMWEL DOE ndio utaona always ukiingiza udikteta humalizi salama. Na sio wewe tuu bali familia yako, viongozi wenzako na familia zao, marafiki zako hata ndugu.

1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais

2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.

3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.

4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.

5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.

Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.

Poleni sana Watanzania
Kama yatatokea haya Basi wa kulaumiwa watakuwa Hawa mwinyi,jaka,mzee wa lushoto magamba ,nyota 5 na huyu wa hapa karibu na ofs za posta
 
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais

2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.

3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.

4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.

5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.

Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.

Poleni sana Watanzania
There is a solution to a problem!
 
Kumuombea mtu kifo Ni ushenzi wa Hali ya juu, unajiweka Kama vile wewe una hatimiliki ya uhai? Badili mtazamo,!
waambie hao vilaza.mugabe amefariiki akiwa na 90.wasijione wanaishi sana kisa bado wana nguvu za kiume.watatangulia wakiwaacha.
 
Mbwa kabisa wewe Bwege ,na huyo Mbwa wenu atakufa kwa Corona Kama Nkurunzinza
unadhani nguvu za kiume ndio tikiti ya kuishi muda mrefu.

tunaweza isahau id yako siku 1 tu,ila magu hata akifa leo ataishi miaka 50 zaidi.

niliona udhaifu wako tokea kipindi unalalamikia TISS,sasa umejivua gamba,hutaki kujificha ficha tena.
 
Sasa hali kama hii ikiangukia Dar au Dodoma ndio tutajua kuwa kumuendekeza MTU mmoja au kikundi cha watu kuipelekesha nchi ni laana na mateso ya kujitakia

Wenye kusikilizwa wawaambie, haya hatuyataki kwetu. Vijana wengi hawana ajira, wamekata tamaa na wanachuki mioyoni. Sio vizuri kuwa mwagia petrol itakayo walipua bure. Hao huwa wanasubiri chanzo tuu cha kulianzisha.

1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais

2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.

3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.

4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.

5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.

Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.

Poleni sana Watanzania
Hao yote uliyoyatataja ni muhimu sana kwa mustakabali wa nchi yetu lakini kwa jinsi watanzania tusivyojielewa na tulivyo wabinafsi na wanafiki, nakuhakikishia hayo yatatimia na hakuna "jipya"litalotokea.
 
Kama yeye ni kiongozi mzuri basi amtengeneze atakae weza kuvaa viatu vyake, kung'ang'ania madaraka ni moja ya ushamba wa hali ya juu kabisa duniani
 
1: Tundu Lissu kuwekewa pingamizi ya kugombea Urais

2: Zanzibar kuwekwa mgombea ambaye ataunga mkono kubadilishwa kwa katiba na kuongezwa muda kwa Rais wa JMT.

3: Kuchezea uchaguzi na kushinda kwa 90+% kote Zanzibar na Bara kwenye Udiwani, Ubunge na Urais.

4: Makonda kuwa Spika 2020-2025 ili kusaidia kupush agenda ya kuongezewa muda.

5: Kuwakamata na kuwaweka kizuizini wote uwe CCM au wapinzani watakao pinga kubalishwa kwa katiba.

Kama Mambo haya yatakamilika na kufanikiwa basi Tanzania inaenda kuwa tofauti sana.

Poleni sana Watanzania
Kwa sisi raia wa kawaida tusio na maslahi na Viongozi wala rushwa,JPM ndo chaguo letu na akishamaliza miaka yake kumi tunaomba tupige kura ya maoni kubadili Katiba ili kumuongezea miaka mingine kumi ndo apumzike.
 
Back
Top Bottom