Uchaguzi 2020 Tanzania inaenda kuwa nchi tofauti sana kama hii mipango itafanikiwa

Huyu jamaa mjinga Sana, anadhani kifo kina fundi!
 
Fikiria wewe Ni msafi kiasi gani? Unahisi wewe unamfurasha Sana Mungu na una haki kuliko hao?

Mangapi unayoyafanya kuumiza wengine na hujiombei kifo?

Think like a man!
Na sio mm tu, ni wengi wanaomba wafe ili kuliponya Taifa na upuuzi wao...
 
Mkuu siamini kabisa Kama tutafika huku na Kama ikiwa hivi mapinduzi ya kiraia au ya kijeshi itakuwa Ni halali.
 
Nitakufa lkn cwezi kugharimu maisha ya watanzania Kama hao mbwa ..ni washenzi sana tena sana...
Hizo tabia zenu watoto msiojuwa baba ndo zinawaponza,
mmefundishwa ujinga na viongozi wenu ambao wanazalisha mama zenu na kukimbia watoto, kiwanda cha kuzalisha ni kiongozi wenu sasa mguu umevunjika.
 
Nani kajiongezea? Au kauli za wajinga unazipa kipaumbele? Magufuli hawezi kajiongezea mda hata kidogo!
Una akili FUPI sana.na pole sana.lini MAGUFULI kawakemea na kusema sitaki kumsikia mtu azungumzie hizo habari za kuongeza mda?.Kama hausiki akemee .SIKIA JARIBU KUBWA LA MAGUFULI NI TAMAA YA MOYO WAKE. ili swala ni lake
 
Hizo tabia zenu watoto msiojuwa baba ndo zinawaponza,
mmefundishwa ujinga na viongozi wenu ambao wanazalisha mama zenu na kukimbia watoto, kiwanda cha kuzalisha ni kiongozi wenu sasa mguu umevunjika.
Mpuuzi mkubwa ww, labda mtoto ww ambaye mpk uwalambe watu matako ndo uende choo...utakuwa ulizaliwa kilabuni , kilabu cha pombe ya kienyeji sumbawanga tunaita ( chimpumu ) jitafutie acha kuimba mapambio yasiyokuwa na uhalisia dogo
 

Wapinzani mlianza kushindwa hapa msitegemee amtashinda tena.

 
Duh! Hiyo namba 4 hata wakisema wanampa bure yeye mwenyewe atakataa kwasababu naamini ataona aibu
 
Tunataka Tanzania iwe Kama chadema Mbowe alivunja Katiba akiwa na wahuni wenzake Sasa sisi watanzania Kwann tusivunje
 
Labda atakimbia mbowe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mana stress zikezid mpaka amekua mlevi
Hata Iddy Amin alikuwa na jeuri kuliko hii, lakini alikimbia nchi na kufa kifo cha aibu sana. Muda utasema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…