Uchaguzi 2020 Tanzania inaenda kuwa nchi tofauti sana kama hii mipango itafanikiwa

Mkuu nakuhakikishia ya nkurunzinza yatamkuta hata kabla hajamaliza muhula wa pili!!!!!Mungu hatakagi ujinga!!!Mateso na vilio vya watz vimemfikia muumba wao lazima atatenda!!!
 
Maigizo bungeni yanapatikana Nchi masikini haswa Afrika.
 
M Mafisadi yalikuwa yanasubiri ikifika 2025 yaanze wizi upya,hakunaga hiyo.bunge lijalo ni la ccm tu ,hivyo kuondoka hako kakipengele ka ukomo wa urais ni dakika sifuri.kiondolewe kabisaa,sisi tunstaka maendeleo.na mtetezi wa maendeleo ya wananchi ni JPM habari ya katiba hawajui.nape,makamba,riziwani, huu ndio ulikuwa ukoo wa wanaojiita Wana ccm.watulie maendeleo kwanza.
 

 
Una akili FUPI sana.na pole sana.lini MAGUFULI kawakemea na kusema sitaki kumsikia mtu azungumzie hizo habari za kuongeza mda?.Kama hausiki akemee .SIKIA JARIBU KUBWA LA MAGUFULI NI TAMAA YA MOYO WAKE. ili swala ni lake
Upo sawa kabisa, yeye anapenda na ameridhia haya yanayoendelelea.
 
Mkuu usichokijua ni kwamba kuwa mwanachama wa Chadema ni hiari ya mtu,ukiona Mambo yao hayakupendezi unaachana nao ndo maana Kila siku unaona watu wanaondoka Chadema na kwenda ccm,nccr na kwingineko.Nani umemsikia akiondoka Tanzania na kufanikiwa kuuvua huu utanzania? Wenzetu ujasiri wa kuufananisha nchi yetu na chama cha siasa sijui mnaupataga wapi
 
Hii ni fact au theory au speculation au conjecture?
 
Kumuombea mtu kifo Ni ushenzi wa Hali ya juu, unajiweka Kama vile wewe una hatimiliki ya uhai? Badili mtazamo,!
Kuna mtu kazuiliwa kukanyaga nchi fulani sababu moja wapo ikiwa ni matendo yake ya kuua watu.anayeomba mtu afe na anayetumia nafasi yake kuua wengine ni Nani Bora kwako?
 
The dude is a notorious coffin dodger. Ila Israeli anamlia timing tu
Don’t say that dude, everybody living right now is a notorious coffin dodger since nobody knows when his/her casket will be dropped, this means that you too are also included in the dodging game.
Remember those people who used to have this kind of attitude towards Hon. Lowassa, most and if not all of them passed and the dude standstill.
 
Acha tu waongeze.Maana inaonekana Magufuli anafaidisha wengi na ni kundi la watu wachache tu ndio wanaumia.
 
Nakubaliana nawe, kwanini watu wanaweza kubadili katiba ya chama ikaonekana ni sawa ila WANANCHI WAKITAKA KUBADILI YA NCHI WANALALAMIKA?
DEMOKRASIA NI KUKUBALIANA NA MAWAZO YA WENGI HATA KAMA KUNA KUNDI LA WATU WACHACHE HAWATAFURAHI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…