Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
nadhani umepeleka lawama mbali zaidi tena kwa mtu wa mwisho kabisa.Tanzania ushoga upo na kama hili swala halitadhibitiwa mapema yawezaka ikachukua kizazi kizima (wastan wa miaka 100) kutokomeza kulithibiti
Siku hizi wana majina yao wanajiita watoto wa kimjinimjini wapo TikTok, telegram, Facebook na Instagram.
Zamani kupata mtoto wa kiume ilikua furaha, unajivunia, unakua comfortable sasa ivi hali ni tofauti
Athari za ushoga ni kupoteza nguvu kazi, manake uchumi nao utaathirika negatively.,kuongezeka kwa ulawiti,
Ukweli mchungu ni kwamba serikali inalifumbia macho ili ijiwekee mazingira mazuri ya kupata misaada kutoka nje.
Tujifunze kwa Uganda wenzetu they play no games kwenye suala ushoga ukifanya masihara unaishia jela
nadhani wazazi na walezi majumbani wana jukumu kubwa na muhimu zaidi ya mtu mwingine yeyote katika jamii kuthibiti huo uchafu.
lakini pia,
viongozi wa kiroho na walimu mashuleni ndio watu wa pili na wa kipekee sana kuwajenga vijana kuepuka hiyo uchafu na uharibifu ingawa nao kwa sehemu kiasi wamelaumiwa kushiriki kuharibu watoto hao wanaowalea kiroho.
jamii inayowazunguka watoto hao nao inawajibu wa maana sana katika kuepusha huo ufirauni katika mazingira ya jamii hiyo inayofanya huo uchafu..
Ndhani Serikali wajibu wake unaweza usiwe na athari sana katika kudhibiti hali hiyo ambayo huenda imekomazwa na hayo makundi makubwa matatu niliyoyataja 🐒