Tanzania inafumbia macho suala ushoga, mwisho wake hautokua mzuri

nadhani umepeleka lawama mbali zaidi tena kwa mtu wa mwisho kabisa.

nadhani wazazi na walezi majumbani wana jukumu kubwa na muhimu zaidi ya mtu mwingine yeyote katika jamii kuthibiti huo uchafu.

lakini pia,
viongozi wa kiroho na walimu mashuleni ndio watu wa pili na wa kipekee sana kuwajenga vijana kuepuka hiyo uchafu na uharibifu ingawa nao kwa sehemu kiasi wamelaumiwa kushiriki kuharibu watoto hao wanaowalea kiroho.

jamii inayowazunguka watoto hao nao inawajibu wa maana sana katika kuepusha huo ufirauni katika mazingira ya jamii hiyo inayofanya huo uchafu..

Ndhani Serikali wajibu wake unaweza usiwe na athari sana katika kudhibiti hali hiyo ambayo huenda imekomazwa na hayo makundi makubwa matatu niliyoyataja 🐒
 
Tujifunze kwa Uganda wenzetu they play no games kwenye suala ushoga ukifanya masihara unaishia jela
Uganda ipi? Hizo ni siasa tu za museveni kuwakamata walokole na machifu maana mengine yote kafeli. Ukitaka kujua hili kuna shule mfano Ntare Boys, Kabale Boys n.k ni shule maarufu kwa ushoga ila hazijawahi kufungiwa au wanafunzi wake kukamatwa!! Kelele za kisiasa hazina maana yoyote kama utekelezaji ni zero
 
Tunapinga ushoga ila hii hoja sijaelewa? Mbona huko US na Israel mashoga ni zaidi ya 20% ila kila siku tunawasifia kuwa wana majeshi imara na uchumi mkubwa?
Viongozi wanaopinga ushoga mfano Mseven, ni mtu anaetumia ujinga wa waafrika ili kutafuta kuungwa mkono.

Mseven, anajua kuwa yeye siyo kiongozi bora, ni fisadi, dikteta na muimla asiyejali maslahi ya wananchi.

Anajua mataifa yanayopenda demokrasia ya haki za binadamu na utawala bora kama Marekani hawawezi kumpenda.

Hivyo, pamoja na kujua kabisa kwamba ushoga siyo jambo lenye tija hadi kupoteza muda na rasilimali za umma kulitungia sheria, ila anajishughulisha nalo tu ili akituhumiwa na US kwa utawala mbovu na udikteta, asingizie ushoga.
 
Hii ishu ipo,yaani na siku hizi ni kama mume au mke anapofanya kuchepuka kwa umakini ili abambwe na mumewe au mkewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…