Kweli corona ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine tu tena Malaria ni hatari zaidi kuliko corona kwa watz sasa kwanini tuanze kutandikana viboko eti kwa sababu ya corona? Wakenya hapo mmefeli mnapigana kama wanyama simply corona virus??Hizi insha sijui unaandika za nini, nimesema wengi wanaongea kuhusu 5G ni korona kwenye vijiweni, ila sio kwa mtu anayetegemewa kwenda kushauri ikulu, ndio maana mnaita Corona kaugonjwa.
Halafu nimeona kumbe ni kitu kimewahi kufunguliwa uzi
Upotoshaji uliopo kati ya uhusiano wa teknolojia ya 5G na corona - JamiiForums
Halafu eti useme wakenya wameelimika kuliko Watz? No no no!! Nimefanyakazi nao pia nimesoma nao huko majuu nawajua sana tu. Wanaweza kuwa wanavyeti vingi kweli lakini kuelimika wengi hawajaelimika ila ni wajuzi wa kukariri.
Wengi wao wakiona ngozi nyeupe uwezo wao wakufikiri unapungua kwa kasi ya ajabu.
Wakenya wanapenda sana kuiga mambo yao kwa wazungu waliposikia USA wameweka lockdown nao waka copy & paste ilipowashinda wakakimbilia kwenye curfew!! Curfew na corona virus wapi na wapi!!?
Curfew inaendana na vurugu za mapigano hasa ya wenyewe kwa wenyewe nia ikiwa kupambana na wahalifu sasa corona virus unapambana naye kwa curfew?? Halafu MK254 anakuja hapa anawadharau watz!!