MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #61
Corona kuletwa na 5G ni agenda ambayo inajulikana worldwide, tatizo lipo kwako mkuu. Your not updated with the facts!!.
Hizo facts ndo nataka mzianike humu tuzijadili kitaalam, acheni soga za vijiweni, weka neno kwa neno uhusiano wa 5G na Corona tubishane kwa hoja.
Mambo kama hayo yakisemwa mtaani itaeleweka kama gumzo la vjana kupotezea muda, lakini wakati linatangazwa mbele ya umati kanisani, tena na mtu mwenye access ya ikulu, hapo lazima ichukuliwe serious.