Unakanusha vipi jambo ambalo huna uhakika nalo ? unakataa kwa grounds zipi ??
Mwanzoni nilikwambia , mtu anapokua na wasiwasi au shaka juu ya jambo fulani ana haki ya kua na wasiwasi na shaka huo , sii mpaka asikie mamlaka au kina fulani wamesema basi nae ndio aanza kua na wasiwasi, hakuna jambo linalotokea tuu from nowhere, haya madogo madogo haya ndio yatafanya watu warudi wakae chini wachunguze waje na jibu
hatujasema popote kwamba hili jambo limethibitika , ila tunaviashiria na series za matukio kama ambavyo wadau wameonyesha hapo awali kwamba kwa sababu hizo kuna uhusiano
sasa wewe unapokataa , kataa kama hao wadau walivyofanya, wamekuja hadi na videos, matukio ya siku za nyuma , noti ya pound 20 etc.. sio vithibitisho ila viambatanishi vinavyo pave way to the next step ya hili jambo
Wewe unapokataa moja kwa moja basi tupe uthibitisho kwamba hili swala limethibitika sii kweli , uchunguzi wa kisayansi umekataa hili jambo , hvyo tu , tutaondoa mkanyiko wote unao endelea duniani kwa sasa
Sent using
Jamii Forums mobile app