Tanzania inahitaji elimu kwa kweli, yaani mhubiri ambaye humshauri hata Rais, anasema Corona inaletwa na 5G

Kweli corona ni ugonjwa kama ugonjwa mwingine tu tena Malaria ni hatari zaidi kuliko corona kwa watz sasa kwanini tuanze kutandikana viboko eti kwa sababu ya corona? Wakenya hapo mmefeli mnapigana kama wanyama simply corona virus??

Halafu eti useme wakenya wameelimika kuliko Watz? No no no!! Nimefanyakazi nao pia nimesoma nao huko majuu nawajua sana tu. Wanaweza kuwa wanavyeti vingi kweli lakini kuelimika wengi hawajaelimika ila ni wajuzi wa kukariri.

Wengi wao wakiona ngozi nyeupe uwezo wao wakufikiri unapungua kwa kasi ya ajabu.

Wakenya wanapenda sana kuiga mambo yao kwa wazungu waliposikia USA wameweka lockdown nao waka copy & paste ilipowashinda wakakimbilia kwenye curfew!! Curfew na corona virus wapi na wapi!!?

Curfew inaendana na vurugu za mapigano hasa ya wenyewe kwa wenyewe nia ikiwa kupambana na wahalifu sasa corona virus unapambana naye kwa curfew?? Halafu MK254 anakuja hapa anawadharau watz!!
 

Haya umeweka hapa ni vitu tunavyoita hearsay, naomba kama wewe mtaalam tujadili kitaalam, neno kwa neno, andaa hoja zako tupelekane humu maana kuna watu wengi wanasoma japo kimya kimya, natangulia kwa kujitambulisha kuwa mimi ni mtaalam kwenye masuala ya ICT, basi nipo radhi na tayari kupambana kwenye hizi hoja ili kuwaelimisha wadau wengi wanaosoma.
 

Chukua muda wako utumie akili kabla kuandika hizi insha, ni kweli Corona sio hatari kama Malaria, ila
- Maambukizi yake yanasambaa kwa kasi kuliko Malaria
- Mbinu za kuambukizana zipo aina nyingi kuliko Malaria, kugusana tu au kumkaribia muathirika wakati anaongea imetosha
- Malaria ina dawa, Corona haina dawa, ndio imeingia duniani
- Malaria hayajaua watu kwa mkupuo kama tunavyoona Marekani na Italy na kwingine mpaka miji inapigwa lockdown

Naweza nikaandika sababu nyingi sana za kwanini unapaswa kuchukwa tahadhari, lakini wengi wenu mumeaminishwa na kukaririshwa pumba wala hutakaa unielewe kitu. Dunia yote kila sehemu watu wanahubiriwa wachukue tahadhari, Tanzania tu ndio mpo tofauti na mabilioni ya watu wa dunia yote.
 
The main issue here ni kuwafanya watz wote ni wajinga kwa sababu ya Askofu Gwajima while it is not true ndiyo maana nikadadavua mambo mengi nikaweka na reference! By the way let me know ugonjwa unakuwa hatari kwa kuua watu wengi kwa mkupuo au kuambikiza?
 
Unajua maana ya hearsay au umeandika tu ?

here is Bilgate



na hii hapa ni noti Pounds, not Euro.. nimejaribu tafuta video inayochambua vizuri.. sio sana kivile ila anaeleweka vizuri mno

here is the video



IT yako wala haihusiki na chochote hapa , i mean haina msaada wowote. kwenye majadiliano haya , hoja inapingwa na hoja iliyo bora zaidi , na hoja hiyo ipendeze zaid kama itakua na viambatanishi sio mawazo ya mtu tu alichowaza basi nawe unaishia hapo hapo



Sent using Jamii Forums mobile app
 
The main issue here ni kuwafanya watz wote ni wajinga kwa sababu ya Askofu Gwajima while it is not true ndiyo maana nikadadavua mambo mengi nikaweka na reference!
Kawasahau hawa ndugu zake, na tweet ziko nyingi,
Hizi ni baadhi tu.
 
Kama unalo la kutaka watu walijadili, Tafadhali liweke mezani, usituletee habari za Gwajima kwasababu ninajua hata wewe unafahamu kwamba huyu jamaa ni chizi na hapaswi hata kusikilizwa na jamii.

Jambo la kushangaza na kusikitisha ni pale wewe unapoonyesha kumuunga mkono abaposhambuliwa na vyombo vya dola pamoja na viongozi wa serikali.

Ni hivi majuzi tu, alijitokeza na kuanza upuuzi wake wa kutaka kuunganisha wasukuma kwa misingi ya ukabila, jeshi la POLISI lilipojitokeza na kumdhibiti, baadhi yenu mlionyesha ishara ya kumtetea.

Gwajima ni tapeli, ni mtu mwenye kujifaja anajua kila kitu, hana maadili, alishawahi kumtukana hata kadinali Pengo na Papa huko Italy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unadhibitisha masomo dhaifu ya Tanzania.

Corona is the Spanish name for 'Crown'.
Virusi viliitwa Corona kwa sababu vinakaa ile crown huvaliwa na Malkia.
Familia ya virusi vya Corona imejulikana tangu miaka ya 1960s.

SARS (2003) na MERS (2012), pia ni virusi vya corona.
 
nilishakuambia wewe ni mjinga kama herufi zilizoko kwenye jina lako

Pound ni pesa mwingereza inahusiana nini na Spain?? Nembo ya Kirusi cha corona kina uhusiano gani na crow5 au ufalme wa Spain? uwe unakaa pembeni wanaume wakijadili mambo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo machache mkiyaelewa, wala hamtabweteka tena
- Ugonjwa kusambaa kwa kasi hadi mashirika yote ya ndege kuacha safari
- Ugonjwa kusambaa kwa kasi hadi mataifa mengi ya duniani kufunga mipaka
- Ugonjwa kusambaa kwa kasi hadi miji ndani ya mataifa kuwekwa kwenye lockdown
- Ugonjwa kusambaa kwa kasi hadi kuwalaza viongozi mashuhuri kama waziri mkuu UK na malkia na wengineo
- Ugonjwa kuua watu wengi kwa mkupuo, namba zinapandisha Marekani, Italy n.k.

Yaani sijui niandike mpaka wapi ndio muanze kufahamu haka sio kaugonjwa, ile tu Afrika tumekoswa koswa kwenye idadi ya vifo sio sababu za kulala na kubweteka.
Hapo Bongo kawaulize wadau wa idara ya utalii, watakuambia haka sio kaugonjwa, ni jitu linazingua.
Watu wajichimbie, wachukue tahadhari mpaka mzungu agundue tiba na kinga.
 

Bado haunielewi, Bill Gates hapo hajasema chochote ambacho hakijasemwa hata kabla yake, ni wazi dunia mpaka leo huwa haijajiandaa dhidi ya virusi, maana hata UKIMWI mpaka leo hamna dawa ya kuuponya.
Lakini mimi nimekuomba ulete ushahidi wa kitaalam unaothibitisha Corona inaletwa na teknolojia ya 5G
 
Wachaga ujinga wewe, watu aina nyingi wanapokelewa namna hiyo hapo, doesnt mean ndio wanamshauri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…