Tanzania inahitaji elimu kwa kweli, yaani mhubiri ambaye humshauri hata Rais, anasema Corona inaletwa na 5G

Stupid people are everywhere jamani . We happen to have Gwajima in Tanzania. Hii story ya 5G ni kweli dunia nzima. Ila ukweli nikwamba mtu yoyote ambae anaamini hii kwamba inaleta korona namuona hamnazo.

Kama angerelate 5G and Internet of thing halafu akatoa implications zake hapo tumgeelewana. Ila huu ujinga wa corona. Hapana kwa kweli.

All in all, Gwajima hamna kitu. When you listen to him, you realise he is so uneducated. It's embarrassing!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea umeamkaje na umeibuka kutoka wapi kabla sjakujibu hili swali lako.
Nimeamka salama tu nimekunywa chai ya maziwa sambusa na kababu, nimeshiba. Nimeibukia JF nakutana na upuuzi wako kama kawaida yako, ndio nauliza hivi,
Ni nani huyo alietabiri ulosema yalitabiriwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeamka salama tu nimekunywa chai ya maziwa sambusa na kababu, nimeshiba. Nimeibukia JF nakutana na upuuzi wako kama kawaida yako, ndio nauliza hivi,
Ni nani huyo alietabiri ulosema yalitabiriwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Naanza kwa utabiri wa hivi majuzi kabla sijakuletea wa enzi zile kabla hata Tanzania haijafahamika

Huu utabiri umeletwa humu na Mtanzania mwenzio

 
Aliyekuambia gwajima ndio muwakilishi wa tanzania nani?
 
ungekua na msimamo huu tokea awali hakuna mtu angehangaika kuja kujibu kitu hapa, yani wewe akili yako hairuhusu mtu kua "concerned" au ku express his worries kuhusu jambo lolote , yani asubiri tu mpaka liwe scientifically proven , hiyo ni dunia ya mambubu na viziwi unayotaka

kwa mtazamo huo hata corona ingekua hatuchukui njia yeyote kujikinga sababu hakuna chochote ambacho ni scientifically proven kwamba kinafanya kazi dhidi ya huu ugonjwa

Again tunarudi kule kule, nilisha kuambia , swala la elimu kupatikana kirahisi linafanya kila jambo kuwa jepesi ,hapo kenya penyewe mna cases za cancer zinazo hisiwa chanzo kua ni 5G. wewe subiri mpaka siku wakitoka maabara wakuambie , kina sisi fast follower acha tuendelee na tuliyo nayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 

non sense unaandika ushubwada tuu,


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Stupid boy. Ujinga wako ukianikwa, saa zingine ni bora kunyamazia hapo.
I thought nikikufunza historia ya coronavirus utatumia akili yako kidogo.

Bank notes are designed with the country's culture in mind. Hio tower ambayo unasema ni 5G tower, ni Margate lighthouse huko UK..





Wacha kujaza akili uji.

Soma hapa utoe ubongolala kwa kichwa - £20 notes don’t have a secret message about 5G and coronavirus

The purple patch, ambayo kichwa chako kichaa kinadhani ni alama ya corona, pia kina maana yake. Soma hapa uwache ujinga - Coronavirus 5G: Why the new £20 note has the coronavirus symbol and 5G beacon

Your dumb brain continuously exposes the fraud that is Tanzania's education system. Unafaa uende shule ya Kenya uelimishwe vipi virusi husambaa.
Pia watakufunza kuhusu radio waves ili utoe uji kichwa.
 
Ona kinacho fanyika kwa mabwana zenu kule,
Si huwa hadi kitu kifanyike kwa mabwana zenu ndio mzinduke,
Utanikwepa ila nitakufata nikudunge huko huko.
Pitia hapo digidigi ww,.. na hiyo virus ni magnet tower hapo Nairobi,

Kwahiyo hiyo tower hapo london hua inatoa mionzi??


so kwa akili yako ya kuvuka barabara hizo zote zinazo unguzwa hapo ni hiyo lighthouse,...again..wewe n mjinga kama sifuri zilizoko kwenye jina lako
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Msimamo wangu ni ule ule tangu mwanzo, kwamba ili tukuamini au tuamini huyo Gwajima kwamba Corona imeletwa na 5G, weka humu ushahidi tuudadavue kitaalam, mengine yote ya ku-express hisia zako unaruhusiwa ila hatuwezi kwenda kwa hisia kwenye masuala ya kitaalam, tunachambua na kudadavua ipasavyo.
Wapo wengi wana express hisia zao, wengine wanasema Marekani alibuni hicho kirusi, mwingine anasema kilibuniwa na Mchina, wote hao wana huo uhuru wa kubwatuka chochote, ila mpaka tupokezane nondo za kueleweka kitaalam tutaendelea kupuuza.
 

"Unamsifia" bure, hayo maneno ameya-copy kwa yule jamaa wa Nigeria.
 
Corona kuletwa na 5G ni agenda ambayo inajulikana worldwide, tatizo lipo kwako mkuu. Your not updated with the facts!!.
 
Nimeamka salama tu nimekunywa chai ya maziwa sambusa na kababu, nimeshiba. Nimeibukia JF nakutana na upuuzi wako kama kawaida yako, ndio nauliza hivi,
Ni nani huyo alietabiri ulosema yalitabiriwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Waone wenzako Capital City ya Dodoma😁😁 wako na low IQ Kama joto la jiwe na ichoboy01
Your browser is not able to display this video.
 
Kiukweli kwangu mimi wewe MK254 na Gwajima nyote sawa tu. Gwajima akiwa kama mchungaji hapaswi kuingilia mambo ya teknolojia Ila pia wewe kama mkenya hupaswi kuingilia mambo ya Tanzania
 
Reactions: Oii
Hakuna uhusiano wa corona virus na 5G. Watu wameanza kutafiti 6G wew bado unakaa kujadili 5G kuleta corona. Ila mfumo wa elimu kipindi flani ulitoa wahitimu wa hovyo. Hapa kwetu Tanzania kuna watu ni wajinga sana.Usipojenga tabia ya kusoma basi kila mtu atachagua la kukwambia na bila shaka utaamini kwa sababu huna taarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…