Mkuu tuachie nchi yetu! Mbona uko bize sana nasi?
Zile ventilators zinaendeleaje huko?
Unakanusha vipi jambo ambalo huna uhakika nalo ? unakataa kwa grounds zipi ??Uliyeleta hizo kauli ndiye uambatanishe na ushahidi, ili na sisi tukanushe kwa ushahidi.
Unakanusha vipi jambo ambalo huna uhakika nalo ? unakataa kwa grounds zipi ??
Mwanzoni nilikwambia , mtu anapokua na wasiwasi au shaka juu ya jambo fulani ana haki ya kua na wasiwasi na shaka huo , sii mpaka asikie mamlaka au kina fulani wamesema basi nae ndio aanza kua na wasiwasi, hakuna jambo linalotokea tuu from nowhere, haya madogo madogo haya ndio yatafanya watu warudi wakae chini wachunguze waje na jibu
hatujasema popote kwamba hili jambo limethibitika , ila tunaviashiria na series za matukio kama ambavyo wadau wameonyesha hapo awali kwamba kwa sababu hizo kuna uhusiano
sasa wewe unapokataa , kataa kama hao wadau walivyofanya, wamekuja hadi na videos, matukio ya siku za nyuma , noti ya pound 20 etc.. sio vithibitisho ila viambatanishi vinavyo pave way to the next step ya hili jambo
Wewe unapokataa moja kwa moja basi tupe uthibitisho kwamba hili swala limethibitika sii kweli , uchunguzi wa kisayansi umekataa hili jambo , hvyo tu , tutaondoa mkanyiko wote unao endelea duniani kwa sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sii kana kwamba labda hii tuliyo nayo ndio Corona pekee ... mpaka sasa , ziko zaid ya aina 60 achana na hizo 6 unazodhani ni nyinyi, ziko 60 kwa popo peke yake, ziko na wanyama wengine kama nilivyoweka hapa chiniBadala ya kuhangaika kuandikiana insha na wewe humu wacha nikupe taarifa mpya, wanasayansi wamegundua aina zingine sita za kirusi cha Corona, sasa hizi nazo sijui mtasema zimeletwa na 6G,7G.8G,9G,10G,11G mtawalia
Soma zaidi 6 new coronaviruses discovered in bats
Sii kana kwamba labda hii tuliyo nayo ndio Corona pekee ... mpaka sasa , ziko zaid ya aina 60 achana na hizo 6 unazodhani ni nyinyi, ziko 60 kwa popo peke yake, ziko na wanyama wengine kama nilivyoweka hapa chini
betacoronavirus
Betacoronavirus
Gammacoronavirus
Coronavirus
Torovirinae
Coronaviridae
Deltacoronaviruses
Alphacoronavirus
Coronaviridae ni family anayotoka huyo kirusi, zipo subfamily pia , vipi vingi tu , vingi mno..miaka mingi tu
Umeshindwa kuleta uthibitisho wa kukanusha ulioko scientifically proven huna haki yeyote ya kukataza au ku demand anything kwa yeyote atakae amini chochote kwa upande wake, mada imeisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona kauli ambazo Watanzania huwa nazo humu JF utajua kweli hawa ndugu zetu elimu yao ina mapungufu makubwa sana, hebu waza huyu mchungaji maarufu sana Tanzania yote, anategemewa na maelfu ya Wabongo, na mara moja moja hutinga ikulu kwenda kushauri (kama kwenye hii picha), ndiye anadiriki tena kwa akili zake mwenyewe kusema Corona inaletwa na teknolojia ya 5G.
Huwa sishangai nikiwaona Watz humu na kauli zao, maana hapa ndio elimu yao ilikofikia, hata wataalam wote kimya wanapoambiwa Corona ni 'kaugonjwa'.