Ni kweli tuko wengi na pia wanatulazimisha tukae mkao wa kikabila,wakiendelea hv watashangaa 2025Halafu mbaya sana wanajaribu kumufitinisha rais na wasukuma ambao ni wapiga kura walio wengi zaidi kuliko kabila lolote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli tuko wengi na pia wanatulazimisha tukae mkao wa kikabila,wakiendelea hv watashangaa 2025Halafu mbaya sana wanajaribu kumufitinisha rais na wasukuma ambao ni wapiga kura walio wengi zaidi kuliko kabila lolote.
I don't argue with fools!You must be an authentic 'Moron' on JF.
Shida siyo panga pangua, kateua yeye mwenyewe halafu kabla ya kuapisha mteule anatengua Tena!! Is this right?
Ulishazoea kutishwa, kufokewafokewa na kuimba mapambio?Very weak indeed, mpaka anatia hasira sana , yani yupo yupo kazubaa utadhan msukule wa kimbiji, yani haeleweki siku hadi siku
Are you serious!!!! CCM hii ya DOLA au CCM Chama cha Siasa? 😨😨Ccm hata wakisimamisha kisiki cha mti hajuna mpinzani wa kuishinda.
Very weak indeed, mpaka anatia hasira sana , yani yupo yupo kazubaa utadhan msukule wa kimbiji, yani haeleweki siku hadi
Watu hawana Wausau wa kuvinjiwa nyumba zao kama kule Kimara na MbeziAngalau watu hawatekwi,watu wanapanda madaraja kazini na hajijengei uwanja wa ndege usio na tija kijijini kwake
Ufarisayo huonaona tunazidi kuongezeka kwa kasi tuliposema hakuna rais hpo ...mimi siku ya kwanza tu baada ya jiwe kufariki niliamini hatuna rais sema sheria zetu tu ndizo zilizotupelekea kufika hpa tulipo
Kama kwenye koroshoMama anatakiwa asome na kudadisi sana ili ajiridhishe kuwa wateule anaoletewa majina yao wanatosha kwa nafasi watakazopewa na pia kumsaidia yeye kutimiza malengo yake kama kiongozi mkuu. Ukweli usemwe tu, mtangulizi wake alimzidi hapo, kwenye kumakinika, kusoma na kukagua yale anayopelekewa kabla ya kutia kidole chake
Punguza ujinga usiokusaidia hata wewe mwenyewePia tambua kwamba hakuna haja ya kutoa mfananisho wa Samia mtoto Pwani , mtoto wa mjini na JPM aliyekulia porini akichunga ng'ombe akaishia kuwa mshamba wa madaraka
Absolutely Rubbish....!!!!Mleta mada nikuulize yule Mkuu wa wilaya aliyeteuliwa enzi za mwandazake akafika hadi ukumbini kwa ajili ya kula kiapo na muda mfupi akatolewa kwamba sio yeye je ulimwanzishia uzi? Au umeona kuwa sasa uko huru hata kutaja majina ya watu humu jukwaani tena kwa kijinasibu kuwa unajiamini? Leta hiyo thread humu nijue una msimamao tangu mwanzo.
Kwa hili Mama ( Rais SSH ) anivumilie tu.Umeandika ukweli, na shida ya ukweli unaumaaa...!
Neno lako la 'Weredi' BAKITA wanalijua?Rais ana majukumu mengi hivyo kutimiza yote bila kuwa na wasaidizi wenye weredi kutakuwa hakuna tija ndio maana teuzi zipo na zinazingatia sheria zote
Kitendo cha kumsema mzee JK kuwa ndo anashika kalamu bila ushaidi huu ni uzandiki mkuu mbona kipindi Mzee JPM alipokuwa karibu sana na hayati BWM hukuja na uzi wa kumshauri? Leo Mama pia kafanya lile lile kama la JPM kuwa karibu na BWM yeye kawa karibu na Jk sasa ndo imekuwa udwazi?
'Fools' hamkosekani hapa Jamvini 24/7.Acha kashfa! Usiingilie utendaji kazi, ni binadamu na hazuiwi kuteua na kutengua kulingana na taarifa azipatapo!
Sihitaji kusoma hadi huko chini.anzania ya sasa inahitaji Rais ambaye haishii tu kuwa Mchapakazi bali pia mwenye uwezo wa Kufuatilia Jambo, Kusoma sana, Kujiridhisha na kuwa na Timu ya Wasaidizi ( Washauri ) wenye Akili hasa na siyo Wapumbavu wenye ' Uchawa ' mwingi.
Linajulikana na hata Bi. Salma analijua.Mkuu watu hawajui kuwa madam ni kachili wa Honorable kikwete toka enzi hizo mama mbunge
Werevu tumekuelewa pakubwa mno tu.I'm very worried na uwezo wa mama wa kufuatilia mambo, kama wasaidizi wake watakuwa si wazalendo, mama atakuwa anaingizwa chaka several time.
MAMA SHOULD BE PAYING ATTENTION TO THE DETAILS, AKILI ZA KUAMBIWA ACHANGANYE NA ZAKE. JAKAYA NI JANGA LA KITAIFA, ALISABABISHA NCHI HII KUIBWA SANA.
Amsikilize ila tu asimuamini sana JMK.Nakazia
Mama amekuwa submissive kwa Mzee wa Msoga hadi inatukera "Wanazengo"