Mama Edina
JF-Expert Member
- Dec 18, 2022
- 850
- 2,019
Umeongea vizuri SanaNchi haihitaji kiongozi mkali bali inataka sheria kali.
Hizo nchi hazina viongozi wakali bali zina sheria kali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea vizuri SanaNchi haihitaji kiongozi mkali bali inataka sheria kali.
Hizo nchi hazina viongozi wakali bali zina sheria kali.
Huyo dikteta anapatikanaje? Tunampigia kura ama atafanya mapinduzi.Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia...
Bunduki ndio kila kitu Kwa majizi na mafisadi... msianze kuleta mambo yenu halafu linakuja kuinuka jitu linadhani wanachohitaji wananchi ni udikteta! Please, stop that nonsense. Tanzania inahitaji mtu mwenye maono ya kuipeleka nchi mbele; mwanademokrasia; anaye-argue kwa hoja na sio kwa bunduki.
Hii kauli iliwaponza ChademaDemokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia.
Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika kwa sababu tumeifanya siasa kuwa ni maneno maneno ya mipasho na utendaji zero.
Kuna watu unashangaa wanaogopwa. Wanaogopwa na serikali? Tumekuwa na maneno maneno kwa miaka mingi. Anatakiwa Rais shujaa mwenye maono ambaye ataipeleka nchi kwenye uelekeo sahihi.
Kuna watu unaambiwa wakiguswa nchi itayumba. Unawaza nchi itayumbaje? Mimi nawaambia nchi hii italiwa sana na wachache wengi wataendelea kuteseka. Mpaka apatikane Rais katili wa maendeleo ambaye hatoacha watu wajilie watakavyo.
Wavivu ni wengi asilimia 70 na hawa ndo ambao wanataka waishi kiujanja ujanja tu. Kiwizi wizi na kifisadi. Ukiwapa mazingira ya kuchapa kazi wanakuchukia. Imagine mtu hataki kusoma. Ila anataka aje apate kazi kwa cheti feki.
Ukimfukuza kazini anakuchukia anakuona wewe katili. Ila ukimwambia nenda shule anakuona wewe pia hufai unamletea Elimu za Kigeni zisizofaa kwake. Mtu huyo unamwachisha kazi. Humfungulii mashtaka bado anapata ujasili wa kudai alipwe mafao? Hii inatokea katika nchi ambazo ni shit holes tu. Hawa walipaswa wafunguliwe kesi.
Anyway, mtakuja wenyewe kujitetea mi nimesema yangu tayari. Nimepasua jipu.
Upumbavu mtupu mnaongea nyie.Huwa nawaambia watu hivyo
Kiukweli kabisa Tanzania inahitaji dikteta mwenye akili nyingi asiye na tamaa na mwenye maono asiyeogopa
Watu kama Msoga na nduguze walifanya makosa na bado wahawajaona hilo watubu na wawe washauri wazuri kwa manufaa ya nchi badala yake wamezidi kuwa kikwazo kwa maendeleo ya nchi
Dawa yao unabadili sheria kidogo alafu unawafilisi mpaka mashangazi zao na wao unatia nyuma ya nondo bila kupepesa macho
Magufuli alikuwa ni dikteta asiye na maono
Kheeee... msianze kuleta mambo yenu halafu linakuja kuinuka jitu linadhani wanachohitaji wananchi ni udikteta! Please, stop that nonsense. Tanzania inahitaji mtu mwenye maono ya kuipeleka nchi mbele; mwanademokrasia; anaye-argue kwa hoja na sio kwa bunduki.
Una penda sana udikteta na madikteta ndugu ?Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia.
Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika kwa sababu tumeifanya siasa kuwa ni maneno maneno ya mipasho na utendaji zero.
Kuna watu unashangaa wanaogopwa. Wanaogopwa na serikali? Tumekuwa na maneno maneno kwa miaka mingi. Anatakiwa Rais shujaa mwenye maono ambaye ataipeleka nchi kwenye uelekeo sahihi.
Kuna watu unaambiwa wakiguswa nchi itayumba. Unawaza nchi itayumbaje? Mimi nawaambia nchi hii italiwa sana na wachache wengi wataendelea kuteseka. Mpaka apatikane Rais katili wa maendeleo ambaye hatoacha watu wajilie watakavyo.
Wavivu ni wengi asilimia 70 na hawa ndo ambao wanataka waishi kiujanja ujanja tu. Kiwizi wizi na kifisadi. Ukiwapa mazingira ya kuchapa kazi wanakuchukia. Imagine mtu hataki kusoma. Ila anataka aje apate kazi kwa cheti feki.
Ukimfukuza kazini anakuchukia anakuona wewe katili. Ila ukimwambia nenda shule anakuona wewe pia hufai unamletea Elimu za Kigeni zisizofaa kwake. Mtu huyo unamwachisha kazi. Humfungulii mashtaka bado anapata ujasili wa kudai alipwe mafao? Hii inatokea katika nchi ambazo ni shit holes tu. Hawa walipaswa wafunguliwe kesi.
Anyway, mtakuja wenyewe kujitetea mi nimesema yangu tayari. Nimepasua jipu.
Tulishakuwanaye sema watanzania wengi hatujui tunachokitafuta,kila siku utatukutaDemokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia.
Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika kwa sababu tumeifanya siasa kuwa ni maneno maneno ya mipasho na utendaji zero.
Kuna watu unashangaa wanaogopwa. Wanaogopwa na serikali? Tumekuwa na maneno maneno kwa miaka mingi. Anatakiwa Rais shujaa mwenye maono ambaye ataipeleka nchi kwenye uelekeo sahihi.
Kuna watu unaambiwa wakiguswa nchi itayumba. Unawaza nchi itayumbaje? Mimi nawaambia nchi hii italiwa sana na wachache wengi wataendelea kuteseka. Mpaka apatikane Rais katili wa maendeleo ambaye hatoacha watu wajilie watakavyo.
Wavivu ni wengi asilimia 70 na hawa ndo ambao wanataka waishi kiujanja ujanja tu. Kiwizi wizi na kifisadi. Ukiwapa mazingira ya kuchapa kazi wanakuchukia. Imagine mtu hataki kusoma. Ila anataka aje apate kazi kwa cheti feki.
Ukimfukuza kazini anakuchukia anakuona wewe katili. Ila ukimwambia nenda shule anakuona wewe pia hufai unamletea Elimu za Kigeni zisizofaa kwake. Mtu huyo unamwachisha kazi. Humfungulii mashtaka bado anapata ujasili wa kudai alipwe mafao? Hii inatokea katika nchi ambazo ni shit holes tu. Hawa walipaswa wafunguliwe kesi.
Anyway, mtakuja wenyewe kujitetea mi nimesema yangu tayari. Nimepasua jipu.
... usishangae Clarra. Huwa wanaanzaga kuongea kama mzaha hivi; wazo linakomaa ndani ya jamii halafu pumbavu fulani lisilojua ABC's za good governance linaibuka huko liliko kwa kuogelea ndani ya mawazo haya haya kuja kuumiza watu. Hitler ni mfano mzuri.Kheeee
Kama alivyokuwa anafanya jiwe. Mungu apishie mbali mkosi kama ule wa jiwe. Hatutaki!! Tunadaka Uhuru.Ukisema dikteta unamaanisha jitu ambalo litauwa watu kwa kisingizio Cha kuleta maendeleo.
wanamchezea baada ya kumsoma kuwa hajui A wala BMama yetu wanamchezea Sana aidha hayajui maisha ya watu wa Hali ya chini. So wale Chawa wanampa hope
Huyo dikteta anapatikanaje?. Tunampigia kura ama atafanya mapinduzi.
Watanzania hatujielewi tupo hovyo sana mawazoni mwetu. JPM alikuja na huo udikteta tukaanza maongezi ya kwamba nchi hii inahitaji zaidi taasisi zinazofanya kazi.
Amekuja SSH na kusikiliza maombi ya hao wanaotaka taasisi na tumeanza tena kulia tukimdai rais dikteta!!. Tupo hovyo sana vichwani.
Sikubaliani na wanaoomba utawala Kama wa jiwe urudi. Hawa wana yao nyuma ya maombi yao.Watanzania hatujielewi tupo hovyo sana mawazoni mwetu. JPM alikuja na huo udikteta tukaanza maongezi ya kwamba nchi hii inahitaji zaidi taasisi zinazofanya kazi.
Amekuja SSH na kusikiliza maombi ya hao wanaotaka taasisi na tumeanza tena kulia tukimdai rais dikteta!!. Tupo hovyo sana vichwani.
Nchi gani iliyotawaliwa na Waarabu ni tajiri pumbavu.Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia...