Watanzania hawajuwi wanataka niniWatanzania hatujielewi tupo hovyo sana mawazoni mwetu. JPM alikuja na huo udikteta tukaanza maongezi ya kwamba nchi hii inahitaji zaidi taasisi zinazofanya kazi.
Amekuja SSH na kusikiliza maombi ya hao wanaotaka taasisi na tumeanza tena kulia tukimdai rais dikteta!!. Tupo hovyo sana vichwani.
Ikiwa mstari wa mwisho umeshindwa kuusomaUpumbavu mtupu mnaongea nyie.
Huyo dikteta aliyepita alifanya nini cha maana zaidi ya visasi na kuua wapinzani?
Tanzania inahitaji viongozi watakaofuata sheria na wananchi wenye akili na ujasiri wa kuwawajibisha viongozi wasiofaa, sio dikteta, Uganda inaongozwa na Dikteta ina kipi cha maana?
Udikteta Afrika kwa sasa hauwezekani tena kwa sababu kwenye kipindi hiki resources za dunia nzima almost zimebaki Afrika tu na huko kwingine tayari tulisha-exhaust. Kwa hiyo unapokuwa tuseme unatawala Tanzania, mataifa ya magharibi nayo yanakuwa yanakuangalia pia kwa sababu na yenyewe yanakuwa yana mahitaji yake kutoka kwako. Unless uwe dikteta unayeshirikiana na mataifa yenye nguvu, na si kivyako vyako. Kwa sasa dunia haina resources sehemu zingine isipokuwa Afrika possibly na middle eastDemokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia.
Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika kwa sababu tumeifanya siasa kuwa ni maneno maneno ya mipasho na utendaji zero.
Kuna watu unashangaa wanaogopwa. Wanaogopwa na serikali? Tumekuwa na maneno maneno kwa miaka mingi. Anatakiwa Rais shujaa mwenye maono ambaye ataipeleka nchi kwenye uelekeo sahihi.
Kuna watu unaambiwa wakiguswa nchi itayumba. Unawaza nchi itayumbaje? Mimi nawaambia nchi hii italiwa sana na wachache wengi wataendelea kuteseka. Mpaka apatikane Rais katili wa maendeleo ambaye hatoacha watu wajilie watakavyo.
Wavivu ni wengi asilimia 70 na hawa ndo ambao wanataka waishi kiujanja ujanja tu. Kiwizi wizi na kifisadi. Ukiwapa mazingira ya kuchapa kazi wanakuchukia. Imagine mtu hataki kusoma. Ila anataka aje apate kazi kwa cheti feki.
Ukimfukuza kazini anakuchukia anakuona wewe katili. Ila ukimwambia nenda shule anakuona wewe pia hufai unamletea Elimu za Kigeni zisizofaa kwake. Mtu huyo unamwachisha kazi. Humfungulii mashtaka bado anapata ujasili wa kudai alipwe mafao? Hii inatokea katika nchi ambazo ni shit holes tu. Hawa walipaswa wafunguliwe kesi.
Anyway, mtakuja wenyewe kujitetea mi nimesema yangu tayari. Nimepasua jipu.
Hivi mafuta kwa wingi duniani NATURALLY yanapatikana wapi, ukiacha yale ambayo yako yamehifadhuiwa kwenye stock tayari?Nchi gani iliyotawaliwa na Waarabu ni tajiri pumbavu.
Gaddafi na Libya ni Waarabu, Kama ni mifano ya Africa tutor ya Africa,Ikiwa mstari wa mwisho umeshindwa kuusoma
Huna hoja huu ni upumbavu zaidi
Huyo Museveni na Magufuli ni walewale mbona hutoi mfano angalau kwa Gadaffi
Elimu zetu za kuungaunga zinatunyima kuwa na uelewa mpana wa hicho tunachokiongea haswa mbele ya kamera.Watanzania hawajuwi wanataka nini
Ova
Nadhani huyo mwenye misimamo ya katikati hawezi kupatikana kutokana na malengo ya kiuchumi ya wakati husika.Sikubaliani na wanaoomba utawala Kama wa jiwe urudi. Hawa wana yao nyuma ya maombi yao.
Tatizo ninaloliona mimi ni kwamba jiwe alikuwa full dictator wakati huyu aliyepo madarakani ni full laissez faire. Hatujapata mtu akaonesha uongozi.madhubuti kwa kufuata Sheria
Tanzania tunataka Rais anayefuata Sheria basiNadhani huyo mwenye misimamo ya katikati hawezi kupatikana kutokana na malengo ya kiuchumi ya wakati husika.
Huyu kaamua kuwa mpole ili asiwakere wafanya biashara na sifa ya TZ kimataifa iwe ni ile ile. Kumbuka huwa anasafiri na huko anataka taswira yetu kwa wao iwe ni ile ile yenye ustaarabu ndani yake.
Nadhani huyo mwenye misimamo ya katikati hawezi kupatikana kutokana na malengo ya kiuchumi ya wakati husika.
Huyu kaamua kuwa mpole ili asiwakere wafanya biashara na sifa ya TZ kimataifa iwe ni ile ile. Kumbuka huwa anasafiri na huko anataka taswira yetu kwa wao iwe ni ile ile yenye ustaarabu ndani yake.
Huwezi kuwadhibiti wabadhirifu/mafisadi bila kuonekana dikteta.Tunahitaji Rais mzalendo mwenye uchungu na nchi yake, asiwe kaburu awe mnyenyekevu Kwa Katiba aliyoapa kuilinda. Akikemea rushwa na ufisadi ukimuangalia usoni unasema yes huyu ndiye. Asiwe dikteta bali awe Rais wa vyama vyote.
Huwezi kuwadhibiti wabadhirifu/mafisadi bila kuonekana dikteta.
Kupatikana kwa mafuta hakukuletwa na madikteta bali watu wenye akili timamu ya kuendeleza dunia na nchi zao.Hivi mafuta kwa wingi duniani NATURALLY yanapatikana wapi, ukiacha yale ambayo yako yamehifadhuiwa kwenye stock tayari?
Mwenye Elimu iliyokamilika gombea uikomboe Tanzania siyo kuja na story za kulia lia.Elimu zetu za kuungaunga zinatunyima kuwa na uelewa mpana wa hicho tunachokiongea haswa mbele ya kamera.
Libya ni Afrika sijui unaongelea Afrika ipi nyingine lakini hata kama iko ulaya kama unavyodhani basi natamani Tanzania ingepata angalau dikteta wa aina hiyoGaddafi na Libya ni Waarabu, Kama ni mifano ya Africa tutor ya Africa,
Hivi upinzani walishawahi tawala Tanzania ukaona faida yake au hasara yake??Kwa nini mnaona upinzani kama adui wenu wa maendeleo Tanzania?Jaribu kufananisha maisha kabla ya 1992 na maisha ya sasa ambako kuna mfumo wa Vyama Vingi nini kimeongezeka au kupungua?Libya ni Afrika sijui unaongelea Afrika ipi nyingine lakini hata kama iko ulaya kama unavyodhani basi natamani Tanzania ingepata angalau dikteta wa aina hiyo
Nikwambie labda upinzani hawana cha ziada cha kutusaidia upinzani ukishika hatamu huwenda mambo yakawa mabaya zaidi
Magufuli amewasanua watu kwamba ukiwa mamlakani unaweza kufanya lolote na hakuna wa kukufanya lolote hiyo ndiyo imepelekea hali kuwa mbaya zaidi kwa sasa
Na itazidi kuwa mbaya zaidi na zaidi huko mbele
Dawa siyo katiba mpya, katiba mpya itasaidia kwa uchache sana tofauti na matarajio ya wengi hii ni Afrika
Rais anashtakika lakini bado hutakuwa na hiyo power
Kinachotakiwa tumpate mtu kama Nyerere mwenye udikteta kiwango cha Magufuli
Pindua then tawala wewe una uchungu Sana na Tanzania watawala waliopo au wapya wakiingia watakuja kukupa pesa bila kufanya Kazi?Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia.