The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
- Thread starter
-
- #21
Niliandika uzi hapa jukwaani ulikaa dakika 4 tu ulifutwa mazima ilikua na kichwa Cha Habari Baada ya Rais Samia Jeshi ichukue hii Nchi kwa Miaka 20 hadi 2050Yeye kama aliteleza ni wajibu wa wengine sasa kuweka mambo sawa ila ni kama kila mtu anafurahi kuja na lake na kuondoka
You don’t know what you are wishing forNiliandika uzi hapa jukwaani ulikaa dakika 4 tu ulifutwa mazima ilikua na kichwa Cha Habari Baada ya Rais Samia Jeshi ichukue hii Nchi kwa Miaka 20 hadi 2050
Nilikua na hoja Kuu za Msingi Tatu
1.Kumaliza(Kuua,kufuta) makundi ndani ya mfumo(format/restore)
2.Kuandika Katiba Mpya na mifumo mpya
3.Kuandaa Viongozi wapya kulingana na mfumo mpya
Na niliomba waisome the State.
Sawa Mkuu Kama Ni wazo baya nami natengua kauli japo sikumaanisha mapinduzi la hasha Nina maanisha miongoni mwa Wanasiasa km kwa Mzee Wetu JK ilivyokuwa Wala usininukuu vibaya kabisa.You don’t know what you are wishing for
Most likely Uko nje ya nchi
Kuna wakati nashangaa aina ya wana siasa ambao walifanya naye kazi! Maana dhahiru shari wameleta majanga makubwa sana.Kuna jamaa tulikua naye anadai Nyerere ndiyo chanzo cha Taifa kufika hapa bado naitafakari Ile kauli wakati mwingine Kikwete anaonekana upatu shujaa kwa udhaifu aliofanya Nyerere katika mifumo ya Nchi.
How? Na ndiye anayelalamikiwa kuua Demokrasia na Uhuru wa kutoa maoni Nchi hii mfano wa wqzi Bunge la Sasa na Mkataba wa DPW? Hauoni aliturudisha zaidi ya kwa Nyerere.Inamuhitaji Magufuli!
Sasa nimesema rip magufuli! Hayo ya demokrasia yametoka wapi? Utajua mwenyewe😂How? Na ndiye anayelalamikiwa kuua Demokrasia na Uhuru wa kutoa maoni Nchi hii mfano wa wqzi Bunge la Sasa na Mkataba wa DPW? Hauoni aliturudisha zaidi ya sasa
Sahavi angalau Ni asubuhi na jioni tu Mkuupole sana asee....., vipi baridi pande hizo
🤣Nami najaribu kuona tuSasa nimesema rip magufuli! Hayo ya demokrasia yametoka wapi? Utajua mwenyewe😂
Sasa SHAURI tufanyaje MkuuYaani mnataka kutuludisha tuliko feli?
Mimi naogopa watu wanaojihusisha na siasa💔Niliandika uzi hapa jukwaani ulikaa dakika 4 tu ulifutwa mazima ilikua na kichwa Cha Habari Baada ya Rais Samia Jeshi ichukue hii Nchi kwa Miaka 20 hadi 2050
Nilikua na hoja Kuu za Msingi Tatu
1.Kumaliza(Kuua,kufuta) makundi ndani ya mfumo(format/restore)
2.Kuandika Katiba Mpya na mifumo mpya
3.Kuandaa Viongozi wapya kulingana na mfumo mpya
Na niliomba waisome the State.
Tatizo kila anayeingia anaona raha ya Katiba inayompa ufalme...Hii si sawa sote tumeona tunahitaji Katiba Mpya, kwanini hawa wachache wanakataa kutupatia? Kwakua ni wafaidikaYeye kama aliteleza ni wajibu wa wengine sasa kuweka mambo sawa ila ni kama kila mtu anafurahi kuja na lake na kuondoka
Nyerere wa Kisasa wapo wengi Mimi sifikii hata theluthi ya sifa ya kuwa miongoni mwao,natumia tu kale ka Haki kangu ka Kikatiba "Uhuru wa kutoa mawazo" na maoni yangu Wala siyo muhimu kiviiileeee🤣🥂Hata wewe mleta mada unaweza kujitolea kua Nyerere wa kizazi hiki Ufanye ukombozi kwenye mambo ambayo tumefungwa😂😂
Kumbe wewe ni keyboard warrior! Huna maajabu.Nyerere wa Kisasa wapo wengi Mimi sifikii hata theluthi ya sifa ya kuwa miongoni mwao,natumia tu kale ka Haki kangu ka Kikatiba "Uhuru wa kutoa mawazo" na maoni yangu Wala siyo muhimu kiviiileeee🤣🥂
Sasa hapa tumlaani nani? Mrumi aliyeasisi mfumo wa Utawala Duniani,Au mkoloni mweusi?Mimi naogopa watu wanaojihusisha na siasa💔
Ni kwenda mbele tu.Sasa SHAURI tufanyaje Mkuu
Wakitoka wanaandika vitabu na kuomba misamaha kedekedeTatizo kila anayeingia anaona raha ya Katiba inayompa ufalme...Hii si sawa sote tumeona tunahitaji Katiba Mpya, kwanini hawa wachache wanakataa kutupatia? Kwakua ni wafaidika
Hizi ni akili za MadrasaNyerere alikuwa shujaa mwaka 1961...
Nyerere alikuwa shujaa Karne ya 20...
Mawazo Yake yalishapitwa na wakati Kwa sasa....
Hata watu kusema Tu angekuwepo Nyerere blah blah ina maana bado watu wako Karne ya 20 kimawazo