Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

Tanzania inamhitaji ‘Nyerere’ sasa kuliko wakati wowote

Yeye kama aliteleza ni wajibu wa wengine sasa kuweka mambo sawa ila ni kama kila mtu anafurahi kuja na lake na kuondoka
Niliandika uzi hapa jukwaani ulikaa dakika 4 tu ulifutwa mazima ilikua na kichwa Cha Habari Baada ya Rais Samia Jeshi ichukue hii Nchi kwa Miaka 20 hadi 2050
Nilikua na hoja Kuu za Msingi Tatu
1.Kumaliza(Kuua,kufuta) makundi ndani ya mfumo(format/restore)
2.Kuandika Katiba Mpya na mifumo mpya
3.Kuandaa Viongozi wapya kulingana na mfumo mpya

Na niliomba waisome the State.
 
You don’t know what you are wishing for

Most likely Uko nje ya nchi
 
You don’t know what you are wishing for

Most likely Uko nje ya nchi
Sawa Mkuu Kama Ni wazo baya nami natengua kauli japo sikumaanisha mapinduzi la hasha Nina maanisha miongoni mwa Wanasiasa km kwa Mzee Wetu JK ilivyokuwa Wala usininukuu vibaya kabisa.

Miye mla mihogo tu wa hapa ya kando ya Bahari.
Nami Natamani kuiona na kuishi Ile Western Economy na Vizazi vyangu ndani ya Ardhi yangu Pendwa.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
 
Kuna jamaa tulikua naye anadai Nyerere ndiyo chanzo cha Taifa kufika hapa bado naitafakari Ile kauli wakati mwingine Kikwete anaonekana upatu shujaa kwa udhaifu aliofanya Nyerere katika mifumo ya Nchi.
Kuna wakati nashangaa aina ya wana siasa ambao walifanya naye kazi! Maana dhahiru shari wameleta majanga makubwa sana.
Haiwezekani imetokea kwa bahati mbaya. Walikuwa wanaonekana na kuachwa wakiamini watabadilika.
 
Niliandika uzi hapa jukwaani ulikaa dakika 4 tu ulifutwa mazima ilikua na kichwa Cha Habari Baada ya Rais Samia Jeshi ichukue hii Nchi kwa Miaka 20 hadi 2050
Nilikua na hoja Kuu za Msingi Tatu
1.Kumaliza(Kuua,kufuta) makundi ndani ya mfumo(format/restore)
2.Kuandika Katiba Mpya na mifumo mpya
3.Kuandaa Viongozi wapya kulingana na mfumo mpya

Na niliomba waisome the State.
Mimi naogopa watu wanaojihusisha na siasa💔
 
Hata wewe mleta mada unaweza kujitolea kua Nyerere wa kizazi hiki Ufanye ukombozi kwenye mambo ambayo tumefungwa😂😂
Nyerere wa Kisasa wapo wengi Mimi sifikii hata theluthi ya sifa ya kuwa miongoni mwao,natumia tu kale ka Haki kangu ka Kikatiba "Uhuru wa kutoa mawazo" na maoni yangu Wala siyo muhimu kiviiileeee🤣🥂
 
Nyerere alikuwa shujaa mwaka 1961...
Nyerere alikuwa shujaa Karne ya 20...
Mawazo Yake yalishapitwa na wakati Kwa sasa....
Hata watu kusema Tu angekuwepo Nyerere blah blah ina maana bado watu wako Karne ya 20 kimawazo
Hizi ni akili za Madrasa
 
Back
Top Bottom