The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Hii ni hatari kama sio balaa.Wenzetu wanaongoza kwa mambo ya msingi,ni ajabu Tanzania yetu inaongoza Afrika kwa kuwa na wale wengi.
Si ajabu wanawake wanakosa wanaume na waliopo hawana nguvu za kiume na za mwili,hupigwa hovyo kwa sababu ya ulevi.
Kana kwamba haitoshi Tzn iko mingoni mwa nchi top ten Duniani zinazoongoza kwa uchawi.
Sasa kama sisi tunaongoza kwa mambo ya kipuuzi ni wazi swala la maendeleo litaendelea kuwa ndoto.👇
====
TOP 10 ALCOHOL CONSUMERS IN AFRICA (2019)
Drink Types: Beer, Wine, Spirits & Others Litres Consumed Per Capita
1. Tanzania 7.81
2. Eswatini 7.68
3. Burkina Faso 7.28
4. SA 7.21
5. Uganda 6.82
6. Gabon 6.47
7. Rwanda 6.35
8. Equatorial Guinea 6.11
9.Botswana 5.98
10.Angola 5.84