Kumbe waganda nao wanapigana miti hivyo?View attachment 2086221
Aisee tupo ten Kwa nchi za Africa zinazoongoza Kwa ngono.
Hii nchi haiwezi endelea Kwa jinsi hii. Na huu ni utafiti wa mwaka Jana mwezi wa 4
Ukitaka kuwa tajiri kauze pombe south Afrika wale raia hawana stress zaidi ya starehe tu pombe inayonyweka pale weekend moja kwa Tanzania inanyweka wiki nzima.
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wanaotuponza na kutoa siri zetu sisi walevi na hawa watengenezaji wa hizi pombe yaani wenye viwanda,wamebweteka na pesa zetu hivi hawajui kwa umoja wetu wa walevi tukiamua kwa nguvu na umoja wetu HATUNYWI POMBE KWA ANGALAU WIKI MOJA TU,UNADHANI PATAKARIKA?Yaani yaani tukiamua kufanya mgomo wa kutokunywa,aisee aiseeHii ni hatari kama sio balaa.Wenzetu wanaongoza kwa mambo ya msingi,ni ajabu Tanzania yetu inaongoza Afrika kwa kuwa na wale wengi.
Si ajabu wanawake wanakosa wanaume na waliopo hawana nguvu za kiume na za mwili,hupigwa hovyo kwa sababu ya ulevi.
Kana kwamba haitoshi Tzn iko mingoni mwa nchi top ten Duniani zinazoongoza kwa uchawi.
Sasa kama sisi tunaongoza kwa mambo ya kipuuzi ni wazi swala la maendeleo litaendelea kuwa ndoto.[emoji116]
====
TOP 10 ALCOHOL CONSUMERS IN AFRICA (2019)
Drink Types: Beer, Wine, Spirits & Others Litres Consumed Per Capita
1. Tanzania 7.81
2. Eswatini 7.68
3. Burkina Faso 7.28
4. SA 7.21
5. Uganda 6.82
6. Gabon 6.47
7. Rwanda 6.35
8. Equatorial Guinea 6.11
9.Botswana 5.98
10.Angola 5.84
View attachment 2086200
Namshangaa mtoa mada,wanatudharau jamani hawajui tukichomoa betri ni hatari hata kwake mnywa soda [emoji23][emoji23]Acha wivu mtoa Mada, Sisi Ni wazalendo.. unajua Serikali unakusanya Kodi kiasi gani kupitia Pombe?? Tusingekunywa Barabara ya kwenda kwenu Mpanda utajenga wewe??
Wewe unaongelea wanywa gongo,aisee wanywa pombe wanaojitambua wana maendeleo makubwa sana tena kuliko nyie wengi msiokunywa niamin ndugu yangu.Wanywa pombe wengi wana familia bora watoto wasoma shule za maana,ni wafanyakazi mahili make wasingekuwa mahili hata pesa ya kunywa wangeipata wapi,wanamiliki mali za maana nk. Ndo nikasema wewe unaongelea walevi wa gongo, gidi, ulazi nk.We unaona kila mlevi ana hela na maisha? Mbona wengi wako hoi kiuchumi?
Toa mbege kwenye huu upumbavu, Mbege n kinywaji cha asili Mbege haileweshi ukalewa ukawa Fala.Kwani hujui pombe ndio sehemu walio hoi huwa wanajifarijia? Pombe ziko za aina nyingi ,hata mbege na gongo ni pombe tofauti ni vifungashio.