Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Feb 14, 2025 #1 SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
SADC imewataka wanchama wake wote kumuunga mkono mgombea wa anayetoka Madagascar lakini upande Africa Mashariki yupo Raila Odinga. Hapa Tanzania inapigaje ikiwa mwanachama wa jumuiya zote mbili?!
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 13,544 Reaction score 43,537 Feb 14, 2025 #2 Sio lazima kuweka wazi msimamo, Tanzania tutashirikiana na yeyote atayeshinda