Yaani Dubai waje kuendeleza bandari Tanzania??

Huu ni ulemavu wa aina Gani lakini??

Hawa wasomi wanaomaliza vyuo kila siku wanafanya nini na elimu zao??

Mbona huko ulaya hawatuiti tukaendeleze za kwao??
Acheni ujima nyie,huko ulaya kwenyewe bandari zinaendeshwa na wawekezaji na sio serikali,hao DP world wanaendesha bandari nyingi tu ulaya yan mje kulalamika kwa iko kibandari chenu uchwara,ngojeni waje hao DP muone kama kuna meli itakaa bandarini siku 3 au wiki kule out anchor kusubiri kuingia bandarini,hao meli ndani masaa tu ishadischarge na kuondoka na nyingine inaingia,acheni upuuzi na ujuha
 
we ndio lipumbavu kabisa km hilo mfu lako. Mwulize Mungu kwanini yule mshamba wako amekufa? Mwulize Mungu nawe mpumbavu utakufa lini, shenzy type
 
Yaani Dubai waje kuendeleza bandari Tanzania??

Huu ni ulemavu wa aina Gani lakini??

Hawa wasomi wanaomaliza vyuo kila siku wanafanya nini na elimu zao??

Mbona huko ulaya hawatuiti tukaendeleze za kwao??

Huko ulaya wana maintaini viwango, hawa wa huku kwetu wanaweza ku deliver viwango vya europe na us?
 
watu wachache wanataka wapige pesa kupitia DP world....hao jamaa hawana shida...shida iko kwetu...kuna wadau wananufaikaaa na huo ubia
kwani sahivi kuna mjombako pale bandarini? Wanakula watanzania wenzako we unapata nini, mbaya zaidi hawana ubunifu wowote. Kubinafsisha uendeshaji ni mfumo wa kidunia utakaoleta ufanisi zaidi.
 
kwani sahivi kuna mjombako pale bandarini? Wanakula watanzania wenzako we unapata nini, mbaya zaidi hawana ubunifu wowote. Kubinafsisha uendeshaji ni mfumo wa kidunia utakaoleta ufanisi zaidi.

jibu hojaa...hayo ya wajomba yameingiaje..
 
Safi sana Serikali,kikubwa Ufanisi uongezeke na mapato Yaongezeke..

DP World ni kampuni kubwa Duniani kwenye uendeshaji wa Bandari.

Tulichelewa sana
 
serikali haiwezi kufanya biashara acheni wawakabidhi wawekezaji muhimu kuwe na ufuatiliaji na usimamizi wenye tija..
 
Warabu sasa wamepata kichaka chao cha kujipitishia mizigo kinyemela kuja hapa nchini.

Nawaza jinsi wafanyakazi wa kitz kwenye hiyo bandari watakavyonyanyasika chini huyo mwarabu koko wa Samiya
 
Inawezekana ni mkataba mzuri, tuwekeeni wazi tuusome.

Tuone tunafaidika vipi na usalama na madlahi ya nchi ya
mezingingatiwa au kuna miaya ya upigaji?
 
Ndiyo maana wawekezaji wajanja hawawezi ingia huu mtego maana ni hasara mbeleni.
 
Yaani Dubai waje kuendeleza bandari Tanzania??

Huu ni ulemavu wa aina Gani lakini??

Hawa wasomi wanaomaliza vyuo kila siku wanafanya nini na elimu zao??

Mbona huko ulaya hawatuiti tukaendeleze za kwao??
Hao wasomi wako wanajua nini zaidi ya Wizi tu?

Ngoja watu waliobarikiwa waje uone kazi yKe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…