Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
awapi sasa unafikiri biashar hii na ya lodge ipi ni biashara nzuri na huduma ya Kiroho zaidi? roho chafu inakujaje wakati umeifadhi miili iliyokufa? ngoja niwatengenezee mazingira ya kuipendaBiashara nyingine NI kukaribisha maroho machafu tu
yaani ukianza hiyo biashara id yako itabadilika utaitwa mjanja mimi ngoja nikujengee ushawishi.Biashara nyingine NI kukaribisha maroho machafu tu
Yani nilikua nafikiria hii ishu ya kununua ardhi ili kuuza viwanja vya makaburi,ni bonge la idea.yaani ukianza hiyo biashara id yako itabadilika utaitwa mjanja mimi ngoja nikujengee ushawishi.
sasa tubadilishe matumizi ya hili shamba kwa kipato zaidi
- fikiria unashamba ekari tano ambalo lipo km 15 toka mjini lakini lipo karibu na vijiji ambavyo ni miji midogo.
- shamba hili ukilima mahindi kwa kila ekari huwa unapata gunia 7 mpaka 10 kwa ekari 5 sawa na gunia 50
- gunia moja unaweza kuuza shillingi 50,000 mpaka 60,000 kwa gunia 50 sawa na shillingi 3,000,000/- na kilimo ni cha msimu mmoja kwa kuwa tunategemea mvua. wastani wa shillingi 250,000 kwa mwezi kabla ya kutoa gharama za kilimo ambazo kwa wastani zinaweza kuwa shilingi 100,000/- na kubakiwa na pato la 150,000 kwa mwezi ambalo ni kazi kulipata .
kwa leo iwatoshe kwa wale waliosoma Marketing wameelewa vizuri ni bora hii kuliko hizo guest zinazojengwa kila siku zinaongeza watoto wa mitaani na kuwaua watoto huku familia zikiangamia kwa shida kwa ajiri ya vidosho.
- tufungue mradi wa huduma za mazishi ikiwemo makaburi mazuri ya kuvutia yanayofanana kama yale ya askari wa kijerumani na eneo litengwe kama ifuatavyo.
- ekari tatu zitumike kwa makaburi ambayo yatachibwa na kujengewa kabisa na wastani wa makaburi 300 yanaweza kupatikana katika ekari moja sawa na kaburi 900 kwa ekari tatu na kila kaburi litauzwa kwa shilingi 1,500,000/- kwa makaburi 900 sawa 1,350,000,000
- ekari mbili zilizobaki zitawekwa vitu vifuatavyo:-
- sehemu ya kutengenezea au kuuzia majeneza na maua
- chumba cha kuhifadhia maiti chenye uwezo wa kustiri miili 20 kwa gharama ya shilingi 15,000/- kwa siku. na vikijaa vyote una 300,000/- kwa siku sawa na pato la 9,000,000/- kwa mwezi na kwa mwaka 108,000,000/-
- mgahawa mzuri kwa ajiri ya chakula na maji
- choo na eneo la huduma za kijamii
- nyumba ya maombolezo -zipo familia zisingependa shughuli za mazishi ziwe nyumbani kwao hivyo nyumba hii inaweza kuwafaa kwa maombolezo kwa kipindi mpaka marehemu anazikwa kwa siku watoze 100,000/-
- sehemu ya ibada na sherehe za kumwaga marehemu
- sehemu ya makaburi madogo ambayo yanaweza kutumika pale familia itakaporidhia kuuza kaburi lao kubwa na kuamisha mifupa kwenye kaburi dogo na kuruhusu kaburi liweze kuuzwa tena! nini sasa mnaogopa na hii itafanywa kwa ibada maalum
- piga fensi ya maana na maua ya mazuri kwenye makaburi kiasi waliokuja kuzika wavutiwe kuwa wateja na ikiwezekana waanze kuyalipia kila mwezi.
kama vipi karibuni kwa business plan tuanze kuitengeneza.
haya lete hela sasa wewe uendelee kuwazika wenda zao!Yani nilikua nafikiria hii ishu ya kununua ardhi ili kuuza viwanja vya makaburi,ni bonge la idea.
Yani nilikua nafikiria hii ishu ya kununua ardhi ili kuuza viwanja vya makaburi,ni bonge la idea.
Napenda kuelewa kwako wewe unaona kuna tofauti gani kati ya mortuary iliyopo kwenye hospitali ya mtu binafsi na stand alone mortuary ambayo ni ya mtu binafsi?We are now trully Capitalists...
Profits above all else....
Fursa nzuri ila inatishaa eeeh....?😂Nasisimka navyosoma hii fursa dah
Napenda mambo mapya ila hapa ndaga fijo🙌Fursa nzuri ila inatishaa eeeh....?😂
Sidhan Kama Ni kweli, labda Kama unaongelea zile V.I.PUnajua bei ya zile jokofu za 4 in one? Si chini ya 50,000,000 kaka
Huduma na chanzo cha kipato ni vitu viwili tofauti sana..., ukibase kwenye chanzo cha kipato utapelekea kuchochea matatizo yatokee ili upate kipato..., ukibase kwenye huduma kipato kitakuwa ni njia tu ya kukuwezesha wewe kuendelea kutoa huduma na sio kutajirika kwa utoaji wako huduma...Napenda kuelewa kwako wewe unaona kuna tofauti gani kati ya mortuary iliyopo kwenye hospitali ya mtu binafsi na stand alone mortuary ambayo ni private owned?
KeyserSoze
Najaribu kukuelewa mkuu.Huduma na chanzo cha kipato ni vitu viwili tofauti sana..., ukibase kwenye chanzo cha kipato utapelekea kuchochea matatizo yatokee ili upate kipato..., ukibase kwenye huduma kipato kitakuwa ni njia tu ya kukuwezesha wewe kuendelea kutoa huduma na sio kutajirika kwa utoaji wako huduma...
Sioni tatizo kama unatoa huduma za luxury (people have a choice) ila huduma za lazima ambapo watu hawana choice na kuzifanya fursa.., hapo utakuwa umehitimu katika ubepari (in fact that is the ugly face of capitalism)
Hilo uwezekano wake kwa sasa ni a far fetch. Meanwhile wakati tunaendelea kusubiri hilo litokee (hata likitokea itakua ni miaka mingi baadae); Why cant we have private mortuaries?KIKUBWA HOSPITALI ZOTE ZA PRIVATE ZIWE NA MORTUARY NZURI. IKIBIDI HADI VITUO VYA AFYA NA ZAHANATI/DISPENSARIES.
Mentality Mkuu in the end mambo ya ajabu pole pole unaona ya kawaida... Kuna tofauti ya kusema kuna uhaba wa mortuary nitengeneze na kuna fursa ya kutengeneza mortuary sababu I can charge more na kupata super profit...Najaribu kukuelewa mkuu.
Kwa hiyo kwako wewe huduma kama za hospitali, uwakili, shule, maji, na kadhalika hazitakiwi kabisa kumletea mtu kipato, bali inatakiwa zitolewe tu kama huduma na kusiwe na kutengeneza faida kwa aina yoyote ile katika huo mchakato? Nimeelewa vizuri ulichomaanisha au nimepotosha?
Kama nimepotosha utanisahihisha, kama nimeelewa vizuri je mtu anaefungua hospitali binafsi kwa mfano, ataiendeshaje bila faida? Au inabidi aifungue tu kama sadaka/huduma, ila awe na utaratibu mwingine usiohusiana na hiyo hospitali yake wa yeye kupata income?
KeyserSoze
Najaribu kukuelewa the angle you are coming from.Mentality Mkuu in the end mambo ya ajabu pole pole unaona ya kawaida... Kuna tofauti ya kusema kuna uhaba wa mortuary nitengeneze na kuna fursa ya kutengeneza mortuary sababu I can charge more na kupata super profit...
Mtu akihitaji dawa ninaweza kumchaji chochote kile hana choice sababu nina maisha yake mkononi.., Je nimchaji ngapi ?, Kama nina kisima kina maji na watu wanahitaji maji je niwauzie maji zaidi ya bei ya Bia ? Ukizingatia maji ni muhimu kuliko Bia..., na hawana choice watakuja tu sababu wanahitaji maji....
Hii scenario itafanya kazi bila shida yoyote mpaka pale wahitaji maji watakapokuwa wengi zaidi na kunichukia mimi ninayewauzia maji (in the end hayo maji watayachukua kwa nguvu) najaribu tu kukupa eventuality ya Profits at all Costs (in the end the gap in classes increases, ambayo huleta chuki na chaos)
Hapa siongelei mortuary per se...., bali mtizamo wa kuangalia kila tatizo kwa jicho la fursa...., Na msemo wa kwamba Greed is Good..., au ku-profit in peoples problems, uzembe, upuuzi au makosa yao (is not sustainable in the long run)