Tanzania is a dictatorship country than Uganda.

Kukataa kuitoa ripoti ya IMF si udikteta? ni nini kinafichwa?
 
Reactions: BAK
Jana tu kikundi cha utekaji kimeteka raia aliyekuwa anakosoa serikali huko Mbeya Tanzania
 
Reactions: BAK
Limekaa kishabiki,kutokna na stress za nchi yake Tuachie Tanzania yetu.
 
Nachocheka hii thread kaandika mkenya hahaha... Sijui mambo ya tz na ug yanamhusu nini... Nyege mbayaa aseee
Wanaandika wa Kenya wa Tanzania mmekuwa wauaji hiyo siyo sifa ni ujinga kila mtu ana thamani na siyo kila mnayepishana mawazo mnamuua hatuwezi kuendelea hivi ni ujinga

##Bring Back Mdude.##
 
Reactions: BAK
Umechukua hatua gani sasa baada ya tz kua hivyo???
Haya si majibu omba Mungu yasikukute lakini tambua kuwa wapambe wa Al-Bashir hawakujua kuwa yatawakuta haya lakini leo wapo wapi?

Na ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji

#BRING BACK MDUDE#
 
Ujambazi upo wapi hapo? Huyo mkulima ukimuambia huo utumbo wako sijui wa bring back our shit ataweza kukupiga bastola
Acha kuwa mjinga hivyo ona thamani ya mtu inchi ni yetu sote
Mkulima gani hajui yanayoendelea hata Al-Bashir katika mikutano yake alikuwa akijaza watu huku amezungukwa na mitutu leo yapo wapi?

Haya maisha tunapta hakuna haja ya kutesana hivi kana kwamba wengine mtaishi milele.

BRING BACK MDUDE#
 
Reactions: BAK
Hivi kwanini Mungu aliumba watu wa namna yako?
 
Reactions: BAK
Hapa una maana Azori , na wanaotekwa wote ni ni terrorists?

Hebu tumia akili vizuri
 
Kwahiyo nyie mliua wawili wao wakaua 68. Hahahah kituko ka hiki unakikuta Kenya pekee
Watu wa chache kwa tamaa ya uongozi na umasikini wa fikra mnatufanya tunaishi kama wakimbizi katika inchi yetu kwanini?
 
Kenya acheni kushangilia kufeli kwa breki za gari letu. tatizO mmezoe kuendeaha gari lenu Bora kila mara na sasa mnajilinganisha nasi
Inchi yetu kwa hili la MDUDE ni inchi ya kidikteta
 
Limekaa kishabiki,kutokna na stress za nchi yake Tuachie Tanzania yetu.
Ulevi wa kishabiki unakusumbua hivi angekua ametekwa ndgu yako ungeandika haya , ungejisikiaje?
 
Wamemsukumizia Ikulu huyo mwendawazimu ambaye hana hata chembe moja ya uongozi sasa kabaki kufanya maovu ya kukwapua trillions hazina na kuuwa Watanzania wanaomkosoa kwa ukatili wake na maovu mengine mbali mbali.
Hakuna Uhuru tena inchi imegeuka vitisho na mauji kutekana tekana kishamba
 
Reactions: BAK
Kenya hatuwezi guga terrorists, The guy was an alshabaab recruiter and died just like Osama. Heri mmoja akufe kuliko maelfu. Westgate made the government and all Kenyans brake down. Wanafaa kujua this is not an Islamic state na wakijaribu upuzz wanatumwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…