Tanzania itapigwa tena na Cape Verde

Hivi kweli mlitegemea Tanzania itafugwa tena na Cape Verde? Mtumie akili acheni mihemko.

Go Tanzania.
 
Mleta uzi na mlinganiaho wako unaonaje ukiondoka nao?
 
Kweli mkuu imepigwa 2-0 hongera kwa utabiri wako
 
Mshabiki wa arsenal huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…